MSAADA KWA YEYOTE ANAYEWAJUA "CHEKI.co.tz"

MSAADA KWA YEYOTE ANAYEWAJUA "CHEKI.co.tz"

Jahom

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2008
Posts
351
Reaction score
33
Nimeingia kwenye web ya CHEKI.co.tz nikakuta vigari vinauzwa, vingine kwa bei fulani nzuri. Naomba uhakika wa watu hawa na vitu wavavyotangaza kama siyo famba.
 
jamaa wapo poa tu ila rahisi gharama jiandae kugharamia matengenezo,ukiona bei rahisi usione wamejivuruga na umewaweza
 
Back
Top Bottom