nyabhumbasi
New Member
- Oct 29, 2016
- 3
- 5
naombeni msaada kwa yeyote mwenye mapenzi mema, mimi ni kijana mtanzania nimemaliza ngazi ya stashahada katika fani ya UHANDISI NA USIMAMIZI WA MAZINGIRA MIGODINI mwaka 2016 mara baada ya kuhitimu niliona ni vyema niombe kuendelea na n masomo ya elimu ya juu na nikachaguliwa katika chuo kikuu Ardhi katika fani ya UHANDISI WA MAZINGIRA lakini kutokana na hali mbaya kiuchumi kwa wazazi wangu mpaka sasa sijafika chuoni yapata wiki ya 3, nilikuwa nasubiri bodi ya mikopo watoe majina ya wanufaika wa mikopo yawezekana ningelikuwa mmoja kati ya ambao wamenufaika lakini mpaka sasa sijapata mkopo, nawaombeni watanzania wote mmoja mmoja, sekta binafsi na za umma mnisaidie ili niweze kutimiza malengo yangu natoka familia ambayo haijajaliwa kupata kwani hata elimu yangu toka awali mpaka hapa nilipofikia nilipata msaada toka kwa wasamalia wema, kama kuna mtu ambaye au kampuni ambapo naweza kuajiliwa kwa elimu niliyonayo msaada tafadhari kwani nina hali ngumu sana.
Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kupitia namba zifuatazo:
0762933740
0658090790
Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kupitia namba zifuatazo:
0762933740
0658090790