Kwa hiyo unataka nini sasa maana umetuambia unalala nyakanazi then ....
barabara ni vumbi tuu kuanzia Nyakanazi mpaka kasulu na ukitoka kasulu mpaka ukakutane na barabara ya kutoka Uvinza ndo utakumbana na lami mpaka Kigoma na kuanzia hapo sasa kutoka mpakani mwa Burundi na Tanzania ni vumbi tena mpaka ndani huko ya Burundi na kutoka Bujumbura wenyewe wanaita Buja mpaka Kongo ni lami