Strong Side
Senior Member
- Sep 17, 2019
- 186
- 302
Boss iko njema kabisa ikiwa hautapigwa kwa kuuziwa feki maana Wabongo kwenye inshu za uchakachuaji ni wa pili wakiongozwa na Nigeria.Natumai mko salama na wazima wa afya. Ombi langu ni kwa yeyote yule mwenye kujua uimara wa hizi kampuni mbili za friji BOSS na Mr UK ipi ipo vizuri katika utendaji?
Nahitaji kununua friji na sina uzoefu nazo kabisa Wakuu msaada tafadhali
Mkuu unaweza kunisaidia kujua fake na original tafadhaliBoss iko njema kabisa ikiwa hautapigwa kwa kuuziwa feki maana Wabongo kwenye inshu za uchakachuaji ni wa pili wakiongozwa na Nigeria.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
zote ni takataka hapoBOSS na Mr UK ipi ipo vizuri katika utendaji?
Duh bei sasazote ni takataka hapo
tafuta:
1. hisense
2. samsung
3. LG
umekosa kabisa chukua Von
chukua Von, bei imepoa kidogo, walau ni brand inayotambulika EADuh bei sasa
Westpoint vipi?chukua Von, bei imepoa kidogo, walau ni brand inayotambulika EA
izo mr. uk na boss ni takataka zinazotambulika Tz pekee
Bado natafuta mwalimu wa kufundisha courses za computer kama vile word excel PowerPoint publisher adobe acrobat chatgpt windows operating system etc.kama una hiyo skillset usisite kunichekiNatumai mko salama na wazima wa afya. Ombi langu ni kwa yeyote yule mwenye kujua uimara wa hizi kampuni mbili za friji BOSS na Mr UK ipi ipo vizuri katika utendaji?
Nahitaji kununua friji na sina uzoefu nazo kabisa Wakuu msaada tafadhali
Bei zao tafadhali mkuuzote ni takataka hapo
tafuta:
1. hisense
2. samsung
3. LG
umekosa kabisa chukua Von
Wabongo wengi ni ujuaji wakishamba unatusumbua.Boss iko njema mkuu,
Sema wabongo bana, mtu kaambiwa Boss na Mr. Uk anakuja kusema Samsung, unadhani hakuna anaelenda fridge za Samsung? Changamoto mfuko na ndo mana tunaomba ushauri kwenye hizi zetu, kama huna ushauri wa hizi zetu tunaomba upite hiv