Asante mkuu, nitalifanyia kaziKama unaweza shika simu yake nenda sehemu ya call setting, call devirt au baadhi ya simu zimeandikwa call foward.
Angalia kuna option nyingi sasa wewe concetrate kwenye foward all voice calls. Utaona namba ya mtu anayewasikiliza.
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu,Mimi nitajuaje tupo wangapi??? Simpaka nipate uthibitisho??Kama ni mpenzi wako, jiulize "MKO WANGAPI?" Mara nyingi wanaume hatupendi umbea ama kuwekeza pasipo na faida.
Namaanisha kuna mwanaume anamfuatilia huyo binti kuliko wewe, huenda binti anawachanganya wanaume zaid ya mmoja.Sasa mkuu,Mimi nitajuaje tupo wangapi??? Simpaka nipate uthibitisho??
Sent using Jamii Forums mobile app
Of course yote ya wezekana ila Mimi nitaanzaje kumwambia yeye kuwa anamwanaume ili hali yeye amekataa kabisa?? Na Mimi evidence nakosa labda nifwatilie ushauri wa mdau hapo juu...Namaanisha kuna mwanaume anamfuatilia huyo binti kuliko wewe, huenda binti anawachanganya wanaume zaid ya mmoja.
Kamwe, narudia tena, kamwe usichukulie utetezi wa mtuhumiwa kuwa ushahidi wa kosa lake. Ni wachache sana husema ukweli.Of course yote ya wezekana ila Mimi nitaanzaje kumwambia yeye kuwa anamwanaume ili hali yeye amekataa kabisa?? Na Mimi evidence nakosa labda nifwatilie ushauri wa mdau hapo juu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh nakubali kaka, unachoweza ongea ni kweli Sasa utajithibitishiaje? Mimi nimelileta hapa nikitegemea majibu, example Angetokea mtu akanijibu hichi kitu nilichokiandika hakipo(yaaani ile sauti ya kiume niliyokuwa nikiongea nayo huyo mtu alikuwepo hapo hapo).Ningeambiwa hivi conclusion ingekuwa tayari...ila Sasa ndo hivoKamwe, narudia tena, kamwe usichukulie utetezi wa mtuhumiwa kuwa ushahidi wa kosa lake. Ni wachache sana husema ukweli.
ShukraniKama uliongea na kidume halafu akatoweka hewani ukampata mdada, jua kuna mchezo usiohitaji hasira.
Nisaidie na mm mkuu simu yangu niliistore saivi utube na browser na chrome haiingii lakini wasap , fb na telegram inaingia vzr tu tatizo ni nini hasakwa sababu umeuliza habari za Telecommunication najaribu kukujibu.
kwenye kwenye transmit of signal kuna kitu kinaitwa modulation na demodulation.
ndani yake humo unapata kitu inaitwa simplex na duplex,
simplex ni kutuma taarifa kwa one direction
duplex ni kutuma taarifa with one another in both direction.
hizo sauti za kiume yeye huwa anaziskia au unasiskia wewe tu.
hizo sauti akiwa tofauti na hilo jengo huwa unaziskia
ana simu nyingine? ukipiga kwenye hiyo simu unaziskia hizo sauti
wewe ukipiga kwa tumia namba nyingine unaziskia hizo sauti.
sauti unayoiskia ni ile ile kila siku
Divert option haijawahi kumfanya mtu wa tatu akasikia maongezi ya watu wawili.Kama unaweza shika simu yake nenda sehemu ya call setting, call devirt au baadhi ya simu zimeandikwa call foward.
Angalia kuna option nyingi sasa wewe concetrate kwenye foward all voice calls. Utaona namba ya mtu anayewasikiliza.
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizo sauti naziskia Mimi tuu...(na si sauti tuu yaani Mara ya kwanza Niliongea na mtu ila sema kwakuwa nashikwa na butwaa ndo nashindwa kujibu vizuri) na Mara ya pili niliskia mtu kwa mbali anaongea na hapo gorofani anakaa mwenyewe tuu na hata ukimuuliza anakujibu hakuna mtu na vioo vimefungwakwa sababu umeuliza habari za Telecommunication najaribu kukujibu.
kwenye kwenye transmit of signal kuna kitu kinaitwa modulation na demodulation.
ndani yake humo unapata kitu inaitwa simplex na duplex,
simplex ni kutuma taarifa kwa one direction
duplex ni kutuma taarifa with one another in both direction.
hizo sauti za kiume yeye huwa anaziskia au unasiskia wewe tu.
hizo sauti akiwa tofauti na hilo jengo huwa unaziskia
ana simu nyingine? ukipiga kwenye hiyo simu unaziskia hizo sauti
wewe ukipiga kwa tumia namba nyingine unaziskia hizo sauti.
sauti unayoiskia ni ile ile kila siku
Hata Mimi naona tayari watu washa ning'iniza....duuhBabu Jinga Mali yako Yaliwa.
Wasiwasi ndio akili,ukishaona akili yako inapata wasiwasi hasa kwa hao viumbe na ushahidi wa background voice za ME etc hapo hauna chako!!
Kweli nafsi sometimes unaongea kabisa...ila sisi binadamu ni wabishi Sana ila kiukweli haya yakitokea huwa hauamini Kama ndo yamekutokea, ila ndo hamna namnaWasiwasi ndio akili,ukishaona akili yako inapata wasiwasi hasa kwa hao viumbe na ushahidi wa background voice za ME etc hapo hauna chako!!