Wakuu naombeni msaada kuna mtoto alikua anachezea computer sasa ile START imehama pale chini imehamia juu sasa namna ya kuirudisha chini hiyo task bar ndo imekua mziki.. Naombeni mnifahamishe namna ya kuirudisha kawaida. Wsh u a very Merry Xmass
Hii ni kwa window 7, ingawa nadhani itasaidia hata kwa version nyingine.
Rightclick kwenye taskbar>choose properties> kwenye "taskbar location on screen" choose 'bottom' then click ok.
sogeza cursor pale ilipo ikamate kwa ku-hold left click bila kuachia na kuivuta/kuiburuza (dragging) bila kuachia hadi pale unapotaka au ilipokuwa na kuachia kidole,,,, kazi itakuwa imeisha
Yah imekubali mkuu asante sana kwa msaada, God bless u. Jamii forum for life maana hapa nimeshapigia jamaa kama wanne hivi hawakumbuki