Msaada kwa watumiaji wa nokia e-63

Msaada kwa watumiaji wa nokia e-63

vennyvencer

Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
49
Reaction score
4
Wakubwa naombeni msaada nokia yangu e-63 inanisumbua kuima na kuwaka mara kwa mara
 
inawezekana virus, format kwa *#7370# itakuuliza security code 12345,simu iwe na charge ikianza kureset iache hadi imalize kabisa.
 
Back
Top Bottom