Msaada:Kwa wataalamu wa ujenzi wa Nyumba

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,472
Reaction score
1,581
Habari wakuu,Nina mpango wa kujenga nyumba kijijini kwetu ya bati 20,gharama kubwa ambayo nitaipata ni bati,mbao na misumari,tofari hizo ni cheap sana maana tofari moja ya kuchoma haitafikisha 100/-
Je,nyumba ya bati ishirini inaweza ikawa na vyumba vingapi za kawaida na gharama yake mpaka kumaliza inaweza ikagharim shilingi ngapi?
Mimi sio mtaalam wa mambo haya jaman ndo maana naomba msaada
 
Sijaelewa sababu ya wewe kuanzia kwenye bati.

Nyumba inaanzia kwenye mahitaji yako kwa maana unataka huduma au facilities zipi ndani na nje ya nyumba, then unaangalia badget yako ni shilingi ngap?
Pia hapo unapotaka kuijenga pana fursa zipi? Ambazo zita either kupunguzia cost ama kukuongezea cost n.k
 
Halafu tofali ya kuchoma ni garama zaidi kuliko anavyofikiria.
 
Habari wakuu,Nina mpango wa kujenga nyumba kijijini kwetu ya bati 20,gharama kubwa ambayo nitaipata ni bati,mbao na misumari,tofari hizo ni cheap sana maana tofari moja ya kuchoma haitafikisha 100/-
Je,nyumba ya bati ishirini inaweza ikawa na vyumba vingapi za kawaida na gharama yake mpaka kumaliza inaweza ikagharim shilingi ngapi?
Mimi sio mtaalam wa mambo haya jaman ndo maana naomba msaada

Mkuu ni bora ungesema... nataka nyumba ya vyumba kadhaa...sebule...choo...jiko...na....mazaga...mengine....kama...utakapopendekeza...wew...ingekuwa...ni...rahisi...kwenye...kucalculate...material
 
Sijaelewa sababu ya wewe kuanzia kwenye bati.

Nyumba inaanzia kwenye mahitaji yako kwa maana unataka huduma au facilities zipi ndani na nje ya nyumba, then unaangalia badget yako ni shilingi ngap?
Pia hapo unapotaka kuijenga pana fursa zipi? Ambazo zita either kupunguzia cost ama kukuongezea cost n.k

Mkuu nyumba najenga kijijin kabisa yaan Rural,tofali ni sawa na bure maana kwa wataofyatua na kuchoma ni watu wa nyumban,maji ya kufyatulia yapo na miti ya kuchome pia....Nataka iwe Chumba nne za kawaida haina bafu wala choo ndan..
 
Mkuu ni bora ungesema... nataka nyumba ya vyumba kadhaa...sebule...choo...jiko...na....mazaga...mengine....kama...utakapopendekeza...wew...ingekuwa...ni...rahisi...kwenye...kucalculate...material

Nataka iwe na vyumba vinne tu mkuu,hakuna choo wala bafu ndani
 
Bado nahitaji mawazo yenu wakuu
 
Back
Top Bottom