Dank
Member
- Jun 2, 2016
- 23
- 10
Nina flash ambayo nilikuwa natunza document zangu nyingi na za muhimu. Ilikuwa na audio chache. Siku moja nilikuwa naplya kwenye DVD ikastop ghafla nahisi ilipata virus. Nikiifungua kwenye computa haifunguki, hata nikiiflshi inagoma. Lakini kwenye hizo documement ndani ya flash baadhi zilikuwa na password. Je hizo password inaweza kuwa tatizo hata nisiweze kuiflash? Au nifanyeje? Msaada please