windows cannot be installed to the disk. The selected disk has an MBR partition t?ble. On EFI system, Windows can only be installed to GPT disks. hiyo ndio message ninayoipata w?kati ni Install windows 8
Hili tatizo lilinisumbua sana kipindi flani, sababu itakua ulifanya partition nyingi sana kwenye system yako kwa hiyo ukajikuta umechange partition type into MBR.
Ushauri wa fasta, kama una hard disk nyingine copy files zako zote unazohitaji alafu rudi kwenye windows installation, ikifika sehemu ya harddisk delete partitions zote then format hiyo hard-disk irudi katika correct type. Unaweza gawa partitions baadaye baada ya hapo sema usiweke partitions nyingi, ziwe angalau mbili tu coz system nayo ina partitions zake reserved.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.