Msaada kwa wataalam wa play store

Msaada kwa wataalam wa play store

Sobangeja

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
401
Reaction score
354
Simu yangu Ni aina ya HUAWEI Rio_LIO,juzi Kati ghafla play store imekuwa haina kitu na haifanyikazi Kama hapo awali.msaada wa namna ya kurejesha program hiyo ili afanye kazi kwani hata YouTube nayo haifungui.Wajuzi wa mambo haya msaada wenu tafadhali.
 
Ohoo tayari vilio.hao Wana ugomvi na Google
Simu yangu Ni aina ya HUAWEI Rio_LIO,juzi Kati ghafla play store imekuwa haina kitu na haifanyikazi Kama hapo awali.msaada wa namna ya kurejesha program hiyo ili afanye kazi kwani hata YouTube nayo haifungui.Wajuzi wa mambo haya msaada wenu tafadhali.
 
Nunua simu aina nyingine, huawei wana ugomvi na marekani hivyo google play store, facebook, youtube, instagram, whatsup n.k havitasoma kwa hiyo simu..
 
Ila si wanezindua OS yao mpya, nawezaje kuintall?
Screenshot_20190809-174649.jpeg
 
Simu yangu Ni aina ya HUAWEI Rio_LIO,juzi Kati ghafla play store imekuwa haina kitu na haifanyikazi Kama hapo awali.msaada wa namna ya kurejesha program hiyo ili afanye kazi kwani hata YouTube nayo haifungui.Wajuzi wa mambo haya msaada wenu tafadhali.
Wew unajua kabisa hiyo kampuni inaugomvi na marekan lakin bado unaendelea nayo bs ndo hivy umeuziwa kopo
 
Nunua simu aina nyingine, huawei wana ugomvi na marekani hivyo google play store, facebook, youtube, instagram, whatsup n.k havitasoma kwa hiyo simu..
Program yao mpya ya 'HarmonyOS' badala ya Android nawezaje kufanya insatallation yake kuepuka ununuzi wa simu nyingine?
 
App zote za Android hazitafanya kazi....na sidhani kama ina apps zake. Acha papara. Ingia Google ujisomee kuna maelezo ya kila aina. Jielimishe kwanza
 
Nunua simu aina nyingine, huawei wana ugomvi na marekani hivyo google play store, facebook, youtube, instagram, whatsup n.k havitasoma kwa hiyo simu..
WhatsApp inafanya kazi vema.inst, facebook si mshiriki.tatizo Ni YouTube na playstores.
 
Back
Top Bottom