biasharaTz
Senior Member
- Apr 14, 2016
- 163
- 79
Katika boot option inaandika "CARDBUS NIC BOOT FAILED". No bootable devices, strike F1 to retry boot. Ukibonyeza kifunho F1 maelezo yanarudi yaleyale NO BOOTABLE DEVICES. F2 for setup utilityKwenye boot options, mpangilio umekaaje, ipi inaanza, NIC ipo enabled?
Ukibonyeza F2, nenda kwenye boot options.
Asante mkuu ngoja na hili wazo lako nilifanyie kaziJarbu kutumia kasha la external kisha format local c baada ya hapo jarbu tena ama pigia window hiyo HDD kwny PC ingne,Hakka itakubali!!
Yah fanya hvo juz mm pia nilikumbwa Na hilo nlifanikiwa kwa kufanya hvo nkajua HDD imekufa kumbe no.Asante mkuu ngoja na hili wazo lako nilifanyie kazi