Wakuu nashukuruni kwa michango yenu ya awali lakini nimejaribu njia zote bila mafanikia, lakini suluhisho moja ambalo nimeona litasaidia sana nadhani ni kuhamia tu Opera Mini browser maana yenyewe nimeitumia kwenye page zilezile na imeperform vizuri kabisaa bila lile tattizo kujitokeza, nashukuru kwa kunifumbua kuhusu opera mini