King Octavian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 403
- 353
Kinachotakiwa ni kuzuia kukidownload ndugu. Maana hata kwenye PC hii mobogenie.exe inakuwa detected kama Malware. Hivyo hata zile page muhimu zinakuwa blocked. ni vyema ukiizuia hiyo Mobogenie
Kama unatumia Opera Mini huwa inatokea juu (pop-up) kwenye page yako. Kutakuwa na Ok pamoja na cancel. Ukicancel hii utaweza kuendelea na shughuli.zako online. Kwangu mimi huwa natumia opera na ndivyo huwa nazuia.
mimi natumia browser hizi Android browser, UC browser, na firefox browser, situmiagi opera
ninafanyaje kwa wenye uelewa
Jaribu "pop up blocker"
nielekeze kwa steps on how to do it
Hiyo inaweza kuwa browser extension au .apk kutoka play store
ok so nidownload au sio, kama browser imelack hiyo kitu
Nafikiri install app kutoka google play store...search key terms "pop up blocker" au "pop up blocker extension"
kuna hii inaitwa Air Push Detector sijui itafaa?
Mkuu Nilikua naongea theoretically ila nilipofatilia sijona hiyo app google playstore chakufanya itabidi u-google kulingana na browser unayotumia...
e.g "Pop up blocker for firefox android"
Au kama ume root soom install "AD Blocker"
mkuu nimechunguza chunguza nikagundua kuwa kumbe hii browser ina setting ya block pop ups na imeactivatiwa lkn tatizo lipo pale pale
Hii kitu ninakutana nayo sana. Hawa mobogenie wameweka web ads ambazo ukiclick automatically unakua umetrigger download yake.
Kwa Opera Mini users hatuna shida kwa sababu client side download dialog inatokea before any download, inayokuruhusu kubadilisha target directory ya kupakua faili.
Kwa browsers nyingine zisizo na hiyo option, kama ya android, ujanza ambao ningeweza kutumia ni kuiruhusu idownload mara ya kwanza na kuiacha kwenye default directory ya 'sdcard/Downloads'. Usiidelete.
Itakapotokea ukakutana na hiyo link tena, kabla ya kudownload itashtukia kuwa hilo faili (lenye jina hilo) tayari lipo kwenye hiyo directory hivyo lazima itakuuliza kama unataka kucover the path. Huo ndo upenyo wa kucancel.
Pia nimetumia UC browser, na kwenye pitapita zangu nadhani unaweza fanya hivi:
Kwenye settings za downloads za uc browser kuna mahali unaselect kurename file before download. Enable hii option, ili kila unapotrigger download yoyote ikuletee jina lake na kukupa option ya kubadilisha jina prior to download. Kwahyo hawa mobogenie wakijileta unawastukia.
Kwa fasta fasta ndo nlichoweza kufikiria. If this works, rep me up!
Mrejesho tafadhali.
Summary: tafuta mechanism yoyote ya kuinterrupt downloads kabla hazijaanza.
PS: Sidhani kama ad blockers zitazuia hii kitu.
Mbona kwangu mabogenie inaniuliza na na cancel kawaida
Inategemeana na browser na settings.