Msaada kwa wanaojua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwa wanaojua

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by zethumb, Sep 24, 2012.

 1. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Hi JF!
  wandugu nina mdogo wangu kachaguliwa kwenda Tandabui Health Institute kusomea Health Records Financial and Information Management, napenda kufahamishwa je amalizapo kozi hii atafanya kazi hospital na kama nani pale na je nafasi za namna hii zipo available au ndo kumaliza na kusota kitaa.....!
  nawasilisha....
   
 2. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Duh! Hicho chuo kipo india au?
   
 3. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  KIPO mwanza hiyo ndugu....
   
Loading...