Habari wanandugu ,
Natumaini nitaweza kusaidiwa kwa hili hitaji / wazo langu .
Hivi inawezekana kwa hizi simu zetu kuzitumia kuangalizia muvi au hata kusikiliza audios ambazo ziko kwenye flash na ukaiunganisha hiyo flash kwenye simu direct? Kama inawezekana nini kinahitaji kukamilisha zoez zima