Msaada kwa wanaojua Kijitonyama Social Work Institute. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwa wanaojua Kijitonyama Social Work Institute.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by dada jane, Aug 28, 2012.

 1. d

  dada jane JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna jirani yangu ana mtoto amechaguliwa kwenda huko. Mwenye A B C za huko please.
   
 2. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  akajiandae jioni kuwa anaonekana mitaa ya sinza makaburini
   
 3. d

  dada jane JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hujanitendea haki mkuu. Huo ndo mwisho wa A B C Za hicho chuo?
   
 4. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sawa ajiandae jioni kuwa anaenda kuuza sura mwenge,
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  A: ajiandae kusoma kwa makini, kazi nje nje! B: Asikubali kutumika kwa wajanja wachache C: Asipende kuiga saaana, kifupi jirani yako asikaze sana, ampe pesa ya matumizi kumlinda na tabia chafu za vijana wengi wa vyuo.
   
 6. E

  E52 Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  aisee hicho chuo ni kizuri ,,,mimi mwenyewe degree yangu ya kwanza nilisoma hapo,,,,,na its one of the best institutes offers social work in africa
   
 7. d

  dada jane JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I smell kaukorofi ndani yako. Any way may be hiyo ni A na B C je? Hata hivyo nashukuru kwa hiyo tahadhari. Ubarikiwe.
   
 8. d

  dada jane JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante sana mkuu. Mungu akubariki.
   
 9. d

  dada jane JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Shukurani mkuu. Samahani Naomba nikupm
   
 10. nipeukweli

  nipeukweli JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  as far as I know pale kuna three courses; Social Work, Human Resources Management and Industrial Relations/Labour studies.
  ni chuo kizuri na mwanafunzi akiwatumia vizuri walimu wake (please take a positive meaning) atajenga uelewa mzuri (kama atafanya bidii). vilevile kuna msisitizo mkubwa wa field work so student akiwa makini anajenga uwezo kivitendo vilevile.

  siwezi kuacha kukueleza hili; kama mhusika ni mtoto wa kike please please awe muangalifu sana. huyo jirani yako ajitahidi kumpa mahitaji yake muhimu...ampe lecture ya kuepukana na tamaa coz asipoishinda hiyo, hali haitakuwa nzuri kwakweli.

  kila la kheri
   
 11. d

  dada jane JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Shukrani sana mkuu na ubarikiwe. Yeye kapata Industriak Relations sijui ni nzuri.
   
 12. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ataishia Hongera Bar, then atakuwa Bar-maid.
   
 13. d

  dada jane JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nafuta kauri hiyo kwa jina la Yesu.
   
 14. d

  dada jane JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sijakuelewa hivyo vifupi vyako.
   
 15. Mbwiga88

  Mbwiga88 JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Na mimi nimepata nafasi hapo nipe namba yake awe rafik yangu
   
 16. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Vijana wa sasa mnawaza mapenziiiiiiiiiiiiiiii
   
 17. d

  dada jane JF-Expert Member

  #17
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umeonaeee. Nimeamua kumpotezea. Hawana tofauti na yule kijana wa Songea.
   
 18. nipeukweli

  nipeukweli JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  well ni nzuri. akifanikiwa kumaliza hiyo vyema, atakuwa mtaalam wa sheria za kazi, work relations, mediation and arbitration na masuala ya jinsi hiyo. hapo zamani course ilifahamika kama Labour Studies. atulize tu kichwa ipo vizuri.
   
 19. d

  dada jane JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thanks mkuu. Kumbe Tanzania bado mpo watu wenye roho nzuri ya kuelimisha wengine nilishakajikatia tamaa ndani ya nchi yangu. Lililobaki ni kumfunda tu binti maana ndoto yake ni kufika mbali. Ubarikiwe.
   
 20. Mbwiga88

  Mbwiga88 JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  usinipotezee mwaya
   
Loading...