Msaada kwa wanaoifahamu kozi ya Business Administration with Education

Business Administration with education?

Kozi nyingi bongo zinatengenezwa kupata wigo mpana wa enrollment ya wanafunzi lakini hazina maana yoyote.

Vyuo vinajiendesha kibiashara sana hivyo wanabuni makozi tu ili kuongeza nafasi ya wanafunzi while in real sense we are not producing anything.
 
Aiseee hili ni bonge la koziii ukimaliza ajira njee njeee kwani HII kozi ina uwanja mpana wa kukufanya uajiriwe kama mwalimu wa masomo ya biashara lakini pia kozi hii inakupa uwanja mpana wa kuajiriwa kama mhasibu, afisa masoko, msimamizi wa biashara,
Naombeni ushauri kuhusu hii kozi ya Business Administration with Education, kama nikisomea naweza fanya kazi za aina gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom