Ndo kwanza ana miezi mitatu nduguBima ya watoto ile ya 50400/= kwa mwaka imeondolewa, kwa sasa ukitaka bima utapaswa kusajili kwa vikundi vya watotobkadhaa(sifahamu wangapi), fuatilia shuleni anakosoma mwanao waweza jua wanaohitaji ili mjiunge.
Hapo lazma upate wenzako mtaani muungane ili muombe kwa pamoja.Ndo kwanza ana miezi mitatu ndugu