paul miteda
Senior Member
- Jan 19, 2023
- 131
- 592
Wife katokewa na vipele kwenye kitovu huu unakuwa ni ugonjwa gani??Kama kuna mtaalam plz anijuze
Vimemtoka siku ya 3 leo kuna doctar tunamsubir kesho amcheki mkuuHosptali vp umejarbu kumpelema au ndo vimemuanza karbun tu mkuu