Kwa yeyote ambae yupo udom social science naomba anipelekee fomu zangu ofisi ya katibu mkuu wizara ya Elimu,sayans na teknolojia jengo la taaluma no, 10, . kama upo tayari Tafadhali nisaidie, ntakutumia fomu hizi kwa njia ya email na pesa ya printing ntakutumia
Kama una hata 10,000/= yakunipa nakupelekea hata leo/sasahivi maana nimekaukiwa hata nauri ya kurudi home sina maana kidogo nipo free kwaleo UE imeachia kidogo, ukinipa maelezo tu, kama iyo office aihusiani na mambo ya masomo ni rahisi.