Prince Hope
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 2,154
- 447
Ni wapuuzi..hela zangu wanazikatalia za nn
Ukiweza nenda Dodoma, kaonane na mkurugenzi au hata zonal manager kwenye kanda uliyopo.
Ni wapuuzi..hela zangu wanazikatalia za nn
Ukiweza nenda Dodoma, kaonane na mkurugenzi au hata zonal manager kwenye kanda uliyopo.
Ni wapuuzi..hela zangu wanazikatalia za nn
nachojuwa hapo mkuu shemeji yetu akipata tena ujauzito aende Lapf atapewa msaada ikiwa ni pamoja na kuchangia sehemu fulani fedha. Na anatakiwa kuwa mwanachamaHabarini wapendwa. Naomba msaada kwa wanachama wenye uelewa na huu mfuko wa kijamii wa LAPF. Ni hivi, si muda mrefu (wiki 2) toka Mke wangu ajifungue! Tumekuwa tukijiuliza kila leo endapo kuna fungu (pesa) la mzazi ndani ya mfuko huu kwa wanachama. Mke wangu ni mwanachama kwa miaka 3 sasa. Lengo ni kupata haki za mwanachama. Pesa za kumlea mama na mtoto ninazo (maana najua wengine mtakuja na mitazamo tofauti). Msaada kwa waelewa tafadhaki. Ahsanteni!
Hii mifuko tofauti na fao la kujitoa huduma nyingine ni wasanii tu.
Ina maana nikifunga safari kwenda Dodoma nitalipwa kutokea huko huko Dodoma? Jamani kwa yoyote mwenye ushuhuda juu ya hili tujuzane.