Msaada kwa wana teknolojia wa JF

luvcyna

JF-Expert Member
Feb 24, 2009
1,848
1,938
Tafadhalini wajemeni wenye uelewa wa haya mambo ya technology, naomba sana msaada wenu. Nina laptop yangu nimeweka window mpya ya darklite version 2009.. the problem come niweka flash disk kwenye kompyuta yangu haisomi... tafadhali nisaidieni maelezo walau nifanyaje..

Thanks in advance to all who will respond
 
jaribu kuweka kwenye usb port ingine ikigoma jaribu kuingiza kwenye pc ingine uone kama inasoma
 
Umekula wa Chuya rafiki! Hakuna OS yenye jina hilo.
I guess umepewa pirated edition ya windows XP (aka Dark edition).
Tafuta genuine ununue. Huna namna, na ukiingia kwa internet M$ wanakudaka:A S shade:
 
its true mkuu ni dark edition plz let me knw more abt it
 
Umekula wa Chuya rafiki! Hakuna OS yenye jina hilo.
I guess umepewa pirated edition ya windows XP (aka Dark edition).
Tafuta genuine ununue. Huna namna, na ukiingia kwa internet M$ wanakudaka:A S shade:
mkuu nimejaribu ku update window kwenye internet ikaanza kuinstall advantage then ilipofika mwisho ikaniambia ths copy of window dd not pass genuine validation... naanza kupruv maneno yako mkuu, but bado niko kwenye internet with it ila nimesitisha kuclick finish to tht installation,je kuna madhara yeyote??
 
Jaribu hivi labda utagundua tatizo liko wapi. nenda kwenye START BAR, kisha right click MY COMPUTER. kisha left click MANAGE, utaona window itatokea imeandikwa COMPUTER MANAGEMENT, click tena hapo kwenye DEVICE MANAGER, itatokea menu kulia utaona kwenye device yenye tatizo itatoa highlight.......:wave:
Tafadhalini wajemeni wenye uelewa wa haya mambo ya technology, naomba sana msaada wenu. Nina laptop yangu nimeweka window mpya ya darklite version 2009.. the problem come niweka flash disk kwenye kompyuta yangu haisomi... tafadhali nisaidieni maelezo walau nifanyaje..

Thanks in advance to all who will respond
 
why not restore the user friendly OS such asXP,Viista or Win 7??
i can try XP coz ndiyo niliyonayo jirani hapa,but the thing is sina uzoefu na installation naomba msaada wa maelezo kidogo mkuu,
hii nliyonayo nliipata nliponunua laptop produced by mecer, imeandikwa windows xp home edition,then mwishoni nimeona imeandikwa Product Recovery CD-ROM, is it reliable?
 
ikishindikana usipoteze muda, piga VISTA AU WIN 7:nono:

thanks kipusy i tried wat U told me naona zilizokuwa highlighted ni VGA na audio media pekee nothing mo, i think i hav to take the next option u gave
 
luvcyna, my advice are always at odd with many! Just backup your data and get rid of that pirated stuffs. I would suggest you BUY a new copy of windows 7 as support for XP have already ended since last year and Vista is being noised off by newbees. But I'm sure few will opt to buy. Then I would suggest you go and install Linux. It is really cool and easy. You can install windows app you think you will miss. I have office 2007 running on my *nix box. Just download Open Suse/Ubuntu or Fedora. If you want more of Linux then go for fedora core elese I would suggest Ubuntu 10.04 instead of 10.10 (I love long term support thing!). Its installation is pretty easy and it takes less than 30 minutes for good machine. So choice is yours. Plus you will never bother about virii and defragmentation.... All the best!
 
BE BLESSED YOSHUA, MUCH THANKS, let me try and ill inform U of any success or failure.. nashukuru sana mkuu
 
Back
Top Bottom