KB THE DON
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 250
- 117
Nami nawahi kiti . Kama itakuwa simple nitafunga pia.Habar za jion wakuu awali natoa pole kwa pilika za kutwa kwa ujumla wake.
Kama mada inavyojieleza hapo juu
Naomba kufahamishwa kuhusu vigezo na masharti ya kufunga ndoa ya kiserikali
Zaidi ya yote naomba kujua nani anaifungisha ndoa hizo na ni wapi then unahitaji nini ili uweze kufunga ndoa hiyo
Natanguliza shukrani
Kukuliza uliza ataambiwa hata yasiyo kuwepo kwenda pale utapewa kila kituNdioo maaana jamaaa kasema kwamba, nenda kwa mkuu wa wilaya utafahamishwa mambo yote, kma inahitajika picha au dole gumba huko ndio kwenye maelezo
KumbeMnafunga kwa mkuu wa wilaya.
Ndio. ..twende basi tukafunge yetu au una subil nizeeke?ππKumbe
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ndio. ..twende basi tukafunge yetu au una subil nizeeke?ππ
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Mkuu kwanza tafuta barua za kukutambulisha kutoka serikali za mtaa. Barua iwe na picha yako na ya mwenza wako. Majina yenu halisi ni muhimu. Gharama inategemea haraka yako . Kama unataka tangazo lifanywe Mara 3 basi gharama ni 50000 ( hii nadhani inaweza kupanda au kushuka kutokana na wilaya au thamani ya shilingi sins uhakika). Kisha unapeleka halmashauri huko utaambiwa nani ni muhusika. Siku ya ndoa utatakiwa kuwa na mashahidi ( wewe moja na mkeo moja).
Ndoa ya serikalini ni rahisi na husaidia sana hasa kwenye bima kama moja wenu kaajiriwa na mwingine hana ajira. Au kama mkeo Ana ujauzito bima inaokoa sana
Ahsanten sana wakuu wa mawazo yenu in short i'm done nimepata mawazo muhimu sana naomba Mungu awabariki