Msaada kwa waliotuma cheti cha kuzaliwa RITA

Msaada kwa waliotuma cheti cha kuzaliwa RITA

lipia tena kwa mpesa OR tigo pesa mkuu namba ya kampuni na kumbukumbu ipo Kwenye website yao. Halafu ulikuwa wapi siku zote hizo mkuu mbona siku zimeisha
Unajua sio nilikuwa wapi kwa ujumla kuna mwanachuo kama continuous hakupata mkopo mwaka jana anataka kujaribu bahati yake tena, sasa amebanwa na UE na yupo nje ya wilaya,sasa kalipia kwa wakala huko chuoni na kunitumia copy ya payment slip. Naona amekosea, hiyo control number hakuweka.
Sasa swali kwako nikilipa kwanini mpesa hiyo namba ya risiti nitatumiwa?
Nisije ingia hasara tena kama huyo mwanachuo.
 
Shukran kwa wote mliochangia hatimaye nimefanikiwa.imebidi nilipie upya baada ya kupata control number
 
Naombeni msaada ni nini hasa Rita wanakifanya kwenye hicho cheti cha kuzaliwa?
 
anaye jua ofisi za rita jijini mwanza anisaidie au namba zao za mawasiliano
 
Back
Top Bottom