muchina omuchina kihengu
Member
- Dec 14, 2016
- 35
- 43
Habarini wakuu,
Kijana wangu namtafutia shule ya private yenye michepuo ya sayansi yani CBG,kwa anaejua/fahamu shule yenye karo nafuu kwa maisha ya sasa ya mtanzania yenye mchepuo huo tajwa hapo juu especially ikiwa mwanza naomba ashushe jina la shule iyo,,
Msaada wako ndo mafanikio yake
Na MUNGU atakubariki.