Wadau wale walio na research proposal yeyote nzuri kwaajili ya shule nahitaji msaada kama wanaweza kunitumia soft copy ni muhimu sana