Msaada kwa Wale wataala na hizi fani

Msaada kwa Wale wataala na hizi fani

sam dizzo

New Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
1
Reaction score
0
Naomba kuuliza Kati ya course ya water qualify and laboratory na water supply and sanition engeernering ipi ni nzuri zaidi
 
Naomba kuuliza Kati ya course ya water qualify and laboratory na water supply and sanition engeernering ipi ni nzuri zaidi

Water quality and laboratory
--- hii unakuwa mtaalamu wa maabara kupima ubora wa maji.

Water supply and sanitation engineering
--- hii unasanifu mifumo ya kusafisha, kutunza, kusafirisha na kusambaza maji ya kunywa; na namna ya kusanifu mifumo ya kusafisha na kutupa majitaka. Kwenye hii uwe 'mzima' kwenye hesabu.
 
Water supply mzeee....hutojuta...

Pia kama una malengo ya kusoma degree ya
Civil
Mechanical
Electrical
Environmental
Kozi zote za surveying engineering

Utaweza kama una diploma ya water supply
 
Back
Top Bottom