prakatatumba
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 1,328
- 192
Khabarini zenu wan JF, naomba msaada wa bei ya kupanga nyumba nzima maeneo ya Tabata chang'ombe,najua kama kuna madadli ila kwa sasa nipo mbali ndyo nataka kuja DSM, hivyo basi kama unaexperience tujuzane wakuu. iwe na sifa zifuatazo
1. iwe barabarani kuanzia maeneo ya kilimanjaro hadi chang'ombe mwisho
2. iwe ina umeme
3. iwe nyumba nzima
4.
1. iwe barabarani kuanzia maeneo ya kilimanjaro hadi chang'ombe mwisho
2. iwe ina umeme
3. iwe nyumba nzima
4.