Msaada kwa wale wa G. S na developnment studies

Msaada kwa wale wa G. S na developnment studies

Mkuu nimekupenda bure atheeeeee kama wasomi wote wangekuwa na roho kama yako hakika tungefika mbali aiseeeee.....hata huu ubaguzi wakishamba unaofanywa na serikali usingekuwepo aiseee kwa moyo uliouonesha kwa hiki kidogo umenifanya nijaji vitu vingi kutoka kwako kuanzia umri kabila elimu na shule pamoja na vyuo ulivyosoma.....
Shukrani sana mkuuu
Watu kama hawa ndo safi mkuu co mwngine unauliza anakujb matusi
 
Swali la Zainabu linakuumiza kichwa duuu!

Degree yangu ya education nafanyia kilimo shamba, ngoja waje na majibu.
 
Naomba msaada wa ilo swali........
.
Nipate point tu

Asanteni.......
95c77bdc839a060ef2af3c2ee8e62b9a.jpg
Fikir kwanza then ndy upate kuuliza.
 
Acha kutuekea mambo ya kitoto hapa.Swali umepewa wewe unatusumbua sisi alaaah acha uvivu usipende vitu vya dezo wewe.
Nadhan hata ww mviv maan huwez kutoa msaada
 
Back
Top Bottom