Savage Dad JF-Expert Member Joined Jul 10, 2018 Posts 1,388 Reaction score 2,611 Nov 9, 2018 #1 Habari za jioni Wakuu. Kama mada inavyosema hapo juu naomba msaada wa jambo langu hili. Katika mizunguko ya kazi leo nimelikuta hili. Kuna compressor moja imetengenezwa sasa baada ya kutengenezwa ikachergiwa na kuwekwa na oil kabisa. Sasa wakati inatembea baada mja mchache inakua overheating katika heads zake. Hii inasababishwa na kitu gani? Compressor nnayoiongelea hapa ni reciprocating/piston compressor.
Habari za jioni Wakuu. Kama mada inavyosema hapo juu naomba msaada wa jambo langu hili. Katika mizunguko ya kazi leo nimelikuta hili. Kuna compressor moja imetengenezwa sasa baada ya kutengenezwa ikachergiwa na kuwekwa na oil kabisa. Sasa wakati inatembea baada mja mchache inakua overheating katika heads zake. Hii inasababishwa na kitu gani? Compressor nnayoiongelea hapa ni reciprocating/piston compressor.