bana we,si una google tu,yanini kupoteza pesa kwenye kitabu?.kiukweli sipendi sana kubishana na mambo ya dini, ila huko nnapoelekea nnatamani sana niifahamu uislamu in deep, tena staki nimfahamu mtume muhamad bali nataka nifahamu wengine walioendeleza jahazi. Halafu, ni lini jamani mtarekodi filamu ya maisha ya mtume muhamad hapa ulimwenguni. Sabu natamani nijue the way alizaliwa na kukua alipoanza huduma yake ya kufundisha na kusafiri sehemu mbali mbali, maisha yake binafsi na hadi kifo chake. Au kama kuna kitabu ambacho kinaelezea maisha yake kama kipo please naomba mnipe jina lake nikenda book store kule town nikanunue. Nawasilisha
Kwenye pepo ya kiislamu kuna pombe balaa, logically huwezi kuacha kunywa pombe duniani wakati peponi kuna breweries
Hapana, liwepo maalum kwa ajili ya waislamu tu,...
Mkuu wangu kwani ninyi huwa MNACHAMBA VIPI.....?:loco:...haaaaa..!? kama ndo hivo. ?. ningeacha hiyo dini..!
Unaonesha hujui maana ya neno "dini", pata darsa dogo;
Dini ni neno la Kiarabu linalomaanisha "njia" kwa Kiswahili cha kawaida. Sasa wewe unauhakika hauna njia? unajiendea tu kama kondoo aliyepotea? Fikiri.
Yes, dini as we know its common usage definition! Inawezekana nisiwe na dini! Njia ya kwenda wapi? If kwenda kwa "Mungu" yes unaweza ukawa huna njia maana one does not believe in the so called "GOD", ALLAH whatever you name it!
Habari ndugu zangu,
Napendwa kujuzwa kuhusu vyakula vinavyotambulika na sheria za kiislam, yaani HALAL FOODS.
Kuna food flavouring ambazo zinatengenezwaga kwa kutumia ethanol (solvent).Mfano wa flouring hiyo ni VANILLA EXTRACT.Vanilla extract is obtained after extraction of vanillin from vanilla beans by using ethyl alcohol e.i. ethanol.Na flavouring(Kionjo) hiki kinatumika kwenye Ice cream,baked products na bidhaa kadha wa kadha za maziwa,mfano yogurt n.k
Swali langu ni hili,je ni haramu kutumia kionjo hiki au products zilizo-flavoured na vanilla extracts? Na kisheria vanilla ina 35% ya ethanol.
Naomba msaada kwenu wakuu.
Jesus commands to kill
little kids.
Mark 7:8-10 "8. You
have let go of the
commands of God and
are holding on to human
traditions." 9. And he continued,
"You have a fine way of setting
aside the commands of God in
order to observe your own
traditions! 10. For Moses said,
Honor your father and mother,'
and, Anyone who curses their
father or mother is to be put to
death.' "
Nguruwe ni haramu kwa waislam lakini ukiwa na baa la njaa imehalalishwa , haramu ni kile kitokacho mtu na si vinginevyo mfano umekula kitu ukakitap.... huwezi kurudia kula kwa vile kimeshakuwa haramu na damu ya mnyama awaye yeyote nayo ni haramu haipaswi kuinywa sasa kwa wale wapenda visusio njoo ubishe nikupe maandiko mnakunywa najisi.
Haramu ni kuua watu wasio na hatia kwa jina la Allah!
Boko haramu, Al qaeda, Alshabaab hawa huwa wanakua wako stimu kabla ya kuua watu hovyo.
kahtaan Ritz gombesugu big show faby wanafahamu yote haya kuwa Mwamedi alikuwa ni Muongo na ni mtumwa wa Allah Mungu Mwezi...Soma hapa mkuu
sura 18:83-86. Jua linazama kwenye kisima cha tope na watu wanaishi hapo jirani na hicho kisima cha tope linapozama jua
ukibisha pitia hizi hadith mkuu ili upate ilim
sahil bukari vol 4 book 54 number 421
"Abzur Ghifari anasimulia,siku moja mtume akaniuliza je unajua baada ya jua kuzama linaenda wapi,nikamjibu sijui labda mtume wa allah unaweza kujua vizuri,mtume akajibu baada ya jua kutua linatulia kusubiri amri ya allah kuchomoza tena,siku inakuja ambapo jua likosa ruhusa ya kuchomoza tena"
pitia na hii uone mambo
sunan abu dawud 3991
" Abu Dharr anasimulia,nilikua nimekaa nyuma ya mtume wa allgb aliyekua anaendesha punda wakati jua lilipokua linazama. Mtume akaniuliza je unajua jua linazama wapi?nikamjibu allah na mtume wake wanajua zaidi. Akajibu akasema linazama kwenye kisima cha maji ya moto"
hizo hadith na aya zinatuambia jua linazama kwenye tope zito,lakini unajua jua huwa linachoka na linahitaji kupumzika kwa uchovu wa siku nzima??pitia hapa
sura 36:38-40 inasema jua lina sehem ya kulala na kujipumzisha kwa uchovu,. Je ushawahi kujua mwezi unaishi wapi au unauona tu unawaka??pitia hapa
sura 36:40 ujue kua mwezi na jua vinaishi pamoja,ni majirani na wala mwezi wala jua haliruhusiwi kumpita mwenzake,wanatakiwa watembee sambamba,pamoja,wakaribishane na waombane chumvi,ni majirani wema
mwisho pitia hapa sura 18:90 jua linazunguka dunia..
Watu wanaona nyota,jua,mawe,maji nk ila hawajui kwa nini allah aliviumba,sasa leo ujue kwa nini allah aliumba nyota,soma sura 67:5 na 37:6-8. Allah aliumba nyota zimlinde dhidi ya shetani,aliumba nyota kama makombora ya kumtupia shetani ili kumfukuzia mbali,nyota zipo kwa ajili ya kulinda mbingu za juu anapoishi mungu ili asipate mashambulio toka kwa shetani..una swali mkuu?