MSAADA: Kwa waislam tu

Status
Not open for further replies.

Unaonesha hujui maana ya neno "dini", pata darsa dogo;

Dini ni neno la Kiarabu linalomaanisha "njia" kwa Kiswahili cha kawaida. Sasa wewe unauhakika hauna njia? unajiendea tu kama kondoo aliyepotea? Fikiri.
 
Unaonesha hujui maana ya neno "dini", pata darsa dogo;

Dini ni neno la Kiarabu linalomaanisha "njia" kwa Kiswahili cha kawaida. Sasa wewe unauhakika hauna njia? unajiendea tu kama kondoo aliyepotea? Fikiri.

Kumbe! Nilikuwa sijui.
 
waislamu wana vituko sana, yani itabidi hadi rais awe na mshauri maalum wa mambo ya kiislamu.

je wewe mleta mada wakati wa kuchamba unazamisha kidole chote cha kati ili kujisafisha kama uislamu unavyofundisha?


Njoo basi tuipakue minyoo hiyo.

Unaifuga ya nini??

Tuimwagie hata maji ya betri.

:israel:
 
asante kubwa umemaliza yote,hz dini n majanga kwetu.chamana jali shughuli zako amini mungu yupo majibishano hayana tija yeyote ile unaweza kukumfuru mungu

Hata ww dini unayo ila hujitambui! huyo mungu wako unaemuamin na kumuabudu na mfumo mzima wa maisha yako unamtegemea huyo! hiyo ndo tafsiri ya neno dini
 

anti baraka pale. afrika ya kati...Moses konyi .....Kule Bosnia je..halafu soma historian. ya ukristu. SPAIN
 
anti baraka pale. afrika ya kati...Moses konyi .....Kule Bosnia je..halafu soma historian. ya ukristu. SPAIN

YESU hakuwahi kuamrisha kuua, ntume kaua malaki ya watu ikiwemo waisrael zaidi ya 700 kwa siku
 
Naomba unipe hiyo aya ya jua kuzama kwny tope.

Soma hapa mkuu
sura 18:83-86. Jua linazama kwenye kisima cha tope na watu wanaishi hapo jirani na hicho kisima cha tope linapozama jua

ukibisha pitia hizi hadith mkuu ili upate ilim
sahil bukari vol 4 book 54 number 421
"Abzur Ghifari anasimulia,siku moja mtume akaniuliza je unajua baada ya jua kuzama linaenda wapi,nikamjibu sijui labda mtume wa allah unaweza kujua vizuri,mtume akajibu baada ya jua kutua linatulia kusubiri amri ya allah kuchomoza tena,siku inakuja ambapo jua likosa ruhusa ya kuchomoza tena"

pitia na hii uone mambo
sunan abu dawud 3991
" Abu Dharr anasimulia,nilikua nimekaa nyuma ya mtume wa allgb aliyekua anaendesha punda wakati jua lilipokua linazama. Mtume akaniuliza je unajua jua linazama wapi?nikamjibu allah na mtume wake wanajua zaidi. Akajibu akasema linazama kwenye kisima cha maji ya moto"

hizo hadith na aya zinatuambia jua linazama kwenye tope zito,lakini unajua jua huwa linachoka na linahitaji kupumzika kwa uchovu wa siku nzima??pitia hapa
sura 36:38-40 inasema jua lina sehem ya kulala na kujipumzisha kwa uchovu,. Je ushawahi kujua mwezi unaishi wapi au unauona tu unawaka??pitia hapa
sura 36:40 ujue kua mwezi na jua vinaishi pamoja,ni majirani na wala mwezi wala jua haliruhusiwi kumpita mwenzake,wanatakiwa watembee sambamba,pamoja,wakaribishane na waombane chumvi,ni majirani wema

mwisho pitia hapa sura 18:90 jua linazunguka dunia..

Watu wanaona nyota,jua,mawe,maji nk ila hawajui kwa nini allah aliviumba,sasa leo ujue kwa nini allah aliumba nyota,soma sura 67:5 na 37:6-8. Allah aliumba nyota zimlinde dhidi ya shetani,aliumba nyota kama makombora ya kumtupia shetani ili kumfukuzia mbali,nyota zipo kwa ajili ya kulinda mbingu za juu anapoishi mungu ili asipate mashambulio toka kwa shetani..una swali mkuu?
 

Elimu yangu inakuhusu nini mkuu?ok ngoja nikwambie elim yangu,nina elim ya kidato cha nne,daraja 4.33,mwaka 1994.. Alafu hizo takwimu za watu wa ulaya kusilim umezitoa wapi? Na hiyo mihadhara ya live inafanyika wapi?niwekee video au link mkuu,je waarabu kubadili dini mbona huziongelei? Tuyaache hayo,mi mihadhara siiwezi mkuu.. Jibu hoja mkuu lugha haina tatizo sema unataka kukwepa mada,mbona ww unafundshwa kiarabu kwani ni lugha yako??kuhusu lugha usizungumze kabisa ila ukitaka kwa kiswahili nakuwekea. Uelewa wangu ni mzuri tu wala sio mdogo mkuu.
 
FaizaFoxy njoo uweke sawa hapa maana pamenipa kizunguzungu kama ni kweli...astaghafilulah!
 
watu mna mambo,sijui mnayatoaga wapi!!!!
 
Hivi mnaongelea kitu gani humu?nimekua nikiiruka hii thread,kumbe ina mambo makubwa,
 
waislamu wana vituko sana, yani itabidi hadi rais awe na mshauri maalum wa mambo ya kiislamu.

je wewe mleta mada wakati wa kuchamba unazamisha kidole chote cha kati ili kujisafisha kama uislamu unavyofundisha?

Aaaaaah MATOLA umenifurahisha sana na kunifumbua uelewa kumbe hawa jamaa wanapaswa kuzamisha dole ktk njia ya haja kubwa!!! Duuuh yaani hii kali
 
Aaaaaah MATOLA umenifurahisha sana na kunifumbua uelewa kumbe hawa jamaa wanapaswa kuzamisha dole ktk njia ya haja kubwa!!! Duuuh yaani hii kali


kwi kwi kwi kwi kwi !!! jf bhn,ina mambo kweli kweli.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…