Methali 31
[SUP]4[/SUP]Haifai ee Lemueli, haifai wafalme kunywa divai,
wala wakuu kutamani vileo.
[SUP]5[/SUP]Wakinywa watasahau maagizo ya sheria,
na kuwanyima haki wenye taabu.
[SUP]6[/SUP]Mpe kileo mtu anayekufa,
wape divai wale wenye huzuni tele;
[SUP]7[/SUP]wanywe na kusahau umaskini wao,
wasikumbuke tena taabu yao.
Kwi kwi kwi teh teh teh.
Tena siku nyingine usishindane na Muislam kuhusu Biblia, tunaijuwa kuliko unavyofikiria. Nyinyi mnadanganywa, mlewe tu. mnywe na kusahau umaskini wenu. Wafalme waendelee kuwatawala.
Tazama Wafalme wa Vatican wanavyowatawala, mpaka Umoja wa Mataifa unapiga kelele kwa jinsi kanisa Katoliki lilivyoharibu watoto duniani kwa kuwalawiti, lakini nyinyi mshapewa pombe, mnasahau yote hayo.
Nalo unataka ushahidi? sema tu, nnao wa kutosha.