Msaada kwa tuta: Nyumbani ni Nyumbani bana....!

Kamarada

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
253
161
Heshima zenyo bana wa JF wote na popote mlipo..!

Nitafurahi kuonana na M-tz yeyote aliyeko Waikiki Honolulu - HI au maeneo yakaribu kisiwani hapa. Mie nipo Aston Waikiki na nitaedea kuwepo hapa kwa muda kwa shughuli za kitaaluma. Lengo ni kufahamina, kuzungumza Kiswahili kidogo na kuelimishana zaidi juu ya tamaduni za hapa kisiwani. Kama hatajali, plz naomba ani-PM ili kufungua mwailano.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom