njia rahisi ni kuangalia imei, ila kama ulifanya modification kwa ku root pia unaweza angalia vitu ulivyomodify na hio root, ila hapa tuna assume aliiformat tu hakuiflash.
pia unaweza angalia serial no za nyuma ya simu, baadhi ya simu hazifanani.
hizo imei na serial no kama una box la simu inakuwa rahisi kuzi compare.