msaada kwa product key tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada kwa product key tafadhali

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by wakuvuma, Sep 26, 2012.

 1. w

  wakuvuma Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimei update window yangu mara nyingi sasa inaniambia 30 days to activate....huku ikinitaka niingize product key
  sijui nizipekue wapi nizipate plz mtu mwenye nazo au kama unaweza kunisaidia katika hizi features nlizo update labda naeza pata uko tafadhal anisaidie....
  WINDOW 7 ULTIMATE
  service pack 1
   
 2. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,919
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  soma post kama 10 za juma utakuta jamaa kakuwekea command za fasta..kuna post ya jamaa nae anaomba kama ww..ningekuw ctumii cm ningekuwekea link kaka..
   
 3. w

  wakuvuma Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ngoja niztazame
   
Loading...