Msaada kwa Picha: HARAMBEE YA KUKAMATWA KWA KENYATA

Msaada kwa Picha: HARAMBEE YA KUKAMATWA KWA KENYATA

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803
Saturday, February 22, 2014



cafc8f4d28L.jpg


Kenyatta akiwa na mkewe Juliana siku alipofunga ndoa mwezi march mwaka jana

​

Ndugu zangu Watanzania kesho Jumamosi Feb 22, 2014 kuanzia saa 10 jioni (4pm) kutafanyika harambee ya kusaidia kumtoa ndugu yetu, kaka yetu, Mtanzania mwenzetu na Baba mzazi wa Barakat Kenyatta Mayanga aliyekamatwa na uhamisji siku ya Jumanne Feb 18, 2014 asubuhi kazini kwake. Familia imeishaongea na mwanasheria wa uhamiaji na pesa tasilimu zinazphitajika ni $5000/.


Tunaomba msaada wako wa haraka utakaowezesha kumtoa ndugu yetu, Mtanzania mwenzetu, Baba wa mtoto wa miaka 8 anayejitaji mapenzi na malezi ya baba yake ambaye kila giza liingiapo anakaa karibu na mlango akimsubili baba yake aliyeenda kazini tangia Jumanne mpaka leo Ijumaa hajarudi nyumbani.


Harambee itafanyikia
6200 Ager Rd,
Hyattsville, MD 20782
​



Kwa marafiki wa Kenyata waliopo mbali na DMV wanaweza kusaidia kupitia 052001633acc#446019426077. BANK OF AMERIKA Jina la Acc ni MWINYIKHERI SEIF MKWAVI.


Kwa maelezo zaidi wasiliana na

Mwinyikheri Mkwavi 240 603 3274

Juliana Morris 781 354 2983
Jabir Jongo 240 604 0574



Kufika kwako ndio kutafanikisha kumtoa mwenzetu
ASANTE NA TUNATANGULIZA SHUKURSNI.
​



at 12:30 PM

source; VIJIMAMBO



 
Acha uhamiaji wafanye kazi yao.hiyo hela itakayochangwa ni rushwa ya kuwapa uhamiaji au?kwani uhamiaji wwnamwachia mtu kwa hela au kwa yeye kuleta uthibitisho!

Huyo mtoto hana mama mpaka akae karibu na mlango! Hamuoni anaweza akadhuriwa na vibaka!

Ushauri:tafuteni mawakiri wwmsaidie.
 
Ndoa ifungwe mwaka jana,mtoto anamiaka8??!! c'moon huyu jamaa atakuwa mzinzi ndo maana ameshindwa vigezo vya kuishi hapoUSA!
Halafu inakuwaje anakosa hata savings ya $5k mpaka harambee? akitoka mwambieni arudi igunga!
 
Huyo huenda ali-over stay.
Kama kutakuwa na kosa lolote alilotenda kwa muda wote alioishi hapo US na likaripotiwa police (ndicho wanachochunguza sasa kwenye comp zao), watapiga X kwenye passport yake na utakuwa ndio mwisho wake wa kukanyaga STATES.
 
Mimi niliju mchango wa M4C kigoma kumbe mzamiaji.!?
 
Huyo huenda ali-over stay.
Kama kutakuwa na kosa lolote alilotenda kwa muda wote alioishi hapo US na likaripotiwa police (ndicho wanachochunguza sasa kwenye comp zao), watapiga X kwenye passport yake na utakuwa ndio mwisho wake wa kukanyaga STATES.
Wasitusumbue! kwani alivyoenda huko alituaga? Kukaa kwake huko kuna mchango gani kwa taifa hili?
 
Mimi nilijua Presidaa wa nchi jirani kesha wekwa pingu na prescutor wa ICC!
 
Wasitusumbue! kwani alivyoenda huko alituaga? Kukaa kwake huko kuna mchango gani kwa taifa hili?

Da!mkuu toa kwanza mchango alafu akitoka tutamuuliza,lakini aitasaidia sana kama tutamponda humu huku mwenzetu anasota.
 
Ndoa ifungwe mwaka jana,mtoto anamiaka8??!! c'moon huyu jamaa atakuwa mzinzi ndo maana ameshindwa vigezo vya kuishi hapoUSA!
Halafu inakuwaje anakosa hata savings ya $5k mpaka harambee? akitoka mwambieni arudi igunga!

Mkuu unashangaa mtoto kuwa na miaka 8?ujui siku izi atufungi ndoa bali tunapasha viporo.
 
Kuchanga pesa au maneno?hapa hapanifaiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom