Msaada: Kwa nini scania na sio volvo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Kwa nini scania na sio volvo?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by babu M, Jul 11, 2011.

 1. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 994
  Trophy Points: 280
  Watu wengi wanaojishungulisha na biashara za Transportation ambao ninawajua wanatumia malori aina ya Scania.Nimejaribu kuwauliza kwa nini wanatumia Scania na sio Volvo ambayo ni bei raisi ikilinganisha na Scania, Wameshindwa kunipa majibu ya kuridhisha.

  Kama sijakosea Volvo ni kati ya kampuni inayoongoza kwa kuuza trucks dunia,kwa mantiki hiyo itakuwa aina tatizo lolote kubwa.

  Kuna mtu yoyote anaelewa sababu ni nini anijuze?
   
 2. Baiskeli

  Baiskeli JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  upatikanaji wa spare za scania ni rahisi kuliko volvo nk. Coz zimejaa bongo.
   
 3. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Msaada baada ya manunuzi kwa vifaa vya VOLVO ni gharama kubwa sana kwani dealers wa VOLVO hapa AFRIKA MASHARIKI ni wachache sana= bei za juu sana katika vifaa na huduma!
   
 4. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 994
  Trophy Points: 280
  Kama vipuli vya Volvo ni ghali kutokana na dealers wachache...Ni kitu gani kinawafanya watu wanaprefer kuwa dealers wa Scania wakati Volvo ni bei raisi zaidi ya Scania? Kwa mfano ukiwa dealer wa Volvo Dar es salaam ukaweza kuuza spares za Volvo kwa bei nzuri utapa wateja wengi kwa sababu watu wengi waprefer kununu Volvo over Scania kwa sababu ya unafuu wa bei ya Volvo...Kuna kitu kinamiss.
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  tunakasumba ya kufata mkumbo thats all akuna jingine wachache wakipenda k2fulani basi inawambukia wengine
   
 6. C

  CHESEA INGINE Senior Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Babu M ni hivi kwanza ufahamu Volvo ni kampuni kubwa kuliko Scania huko Sweden. Volvo imejikita zaidi soko la ndani la Sweden, wakati Scania wamejikita zaidi masoko ya nje. Kilichotokea ni kwamba Scania wamejimarisha katika mazingira tofauti tofauti duniani na hapa Tanzania waliingia 1973 wakawa wanaboresha magari ya kutumika hapa nchini kutokana na barabara zetu mpaka wakafanikiwa na kukubalika na matransporta wengi. Kutokana na hilo vipuri vikawa vinapatikana kwa wingi kutokana na wingi wa magari kuwepo nchini. Volvo ndiyo wananza kwa kusua sua na mpaka wajimarishe kwenye kuweka mabohari ya vipuri na wawakilishi mikoani kama walivyofanya Scania (Scania wana matawi Arusha, Mwanza na Mbeya. Dar wako Nyerere road, na Ubongo bus terminal mle ndani)wana kazi kubwa kukubalika. Nawasilisha.
   
 7. B

  Bobby JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,682
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Babu, nadhani basic economics principle ya demand and supply inaapply hapa, kwamba dealers wa volvo wako wachache kwa kuwa demand ya hizo parts ni chache kwani idadi ya volvo trucks nchini ni ndogo ukilinganisha na idadi ya scania trucks. On the other hand pia huenda hiyo demand kubwa ya parts za scania imesababisha uzalishaji mkubwa counterfeit parts kutoka kwa wale ndugu zetu na hizi mara nyingi huwa bei poa tu hivyo kila mmmoja anaweza.

  Sasa kwanini Scania na si volvo? Mimi nadhani ni belief tu, watanzania hawako flexible kihivyo, it takes time wao kujiadjust kwenye mazingira/vitu vipya. Nalinganisha hili na issue ya gear box, manual na automatic. Nakumbuka ilichukua muda sana kwa watanzania kuzikubali automatic gear boxes, ilikuwa ukindesha gari automatic unaonekana ni kituko kabisa lakini sasa hivi hawataki tena manual gear box. Mimi niko kwenye transport pia na mwanzoni mwa mwaka huu nilinunua volvo moja FM 12. Toka nimeinunua hii gari ikitoka safari ni kumwaga oil tu inaondoka tena wakati scania kila zikirudi mambo kibao ya kufanya kabla haijasafiri tena. Anyway, huenda kuna factors nyingi za kuziangalia lakini mm nahamia volvo na Mungu akipenda naongeza nyingine soon.
   
 8. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  uki-drive kuanzia Kenya, thru Tanzania mpaka South Africa hakuna nchi yenye trucks nyingi za SCANIA kama Tanzania.
   
 9. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hili ndio tatizo haswaaa Tanzania, wee angalia hata magari ya ajabu ajabu eti sijui Spacio, Nadia, Noah..... halafu unakuta wabongo wenyewe wanabishana kuhusu ufahamu wa magari!!!
   
 10. Kitoabu

  Kitoabu JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,765
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Utatusaidia wengi
   
 11. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Hiyo ya kwamba VOLVO ni bei nafuu kuliko scania umeipata wapi unaweza kutupa data linganishi

  eg Volvo mpya ya Ton 10 ni $ ngapi VS Scania mpya Ton 10
   
 12. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Sio kweli....Scania imekuwepo TANZANIA kwa kitambo sasa. Unakumbuka TAMCO kibaha au ulikuwa bado hujazaliwa? Scania pia ni nzuri kwa utumiaji wa mafuta na efficiency. Model P114 (Pichani) ambazo ni nyingi TZ (Ninazo 8) engine yake ni 12,000CC compared to FUSO ya same efficiency ni 20,000CC...ukitaka kuagiza ni PM

  [​IMG]
   
 13. B

  Bobby JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,682
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Zing, hilo la bei ni kweli na wala halina mjadala. Mimi naomba nitoe mfano wa 420 HP na si 10 ton kama ulivyoomba. Zunguka hapa town (dar) kwa dealers wa magari utakuwa volvo tractor ya 420 inauzwa on averange 38-40m wakati kwa scania ya capacity hiyo say 124 inauzwa 50-55m. So kwa bei ya trucks scania iko juu ya volvo wakati parts ni kinyume na sababu nimejaribu kueleza (my very honest opinion) kwenye post yangu ya awali. Kinachonisumbua mm na mtoa mada, hakuna reflection ya bei kwenye ubora. I do not believe for a moment kwamba scania ni bora kuliko volvo.

  Speedy, pale nitakapokuwa na uwezo wa kusadia niko zaidi ya kuwa tayari so unakaribishwa sana sana
   
 14. j

  join9527 Member

  #14
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  [​IMG][​IMG]
  [​IMG][​IMG]
  [​IMG]
   
 15. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 994
  Trophy Points: 280
  Inawezekana hii ndio sababu.Kuna mtu alikuwa anataka kununua used scania nikamshauri kwa nini asinunue Volvo ambayo ina mwaka sawa na Scania na mileage hazija tofautiana sana lakini Volvo ni zaidi ya 10m cheaper than Scania.Aliendelea kusisitizia kwamba anataka Scania na alishindwa kutoa maelezo ya kina kwa nini hataki Volvo.
   
 16. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 994
  Trophy Points: 280
  Mkuu asante kwa mchango wako ukizingatia wewe una Volvo.Siku zijazo nitakutafuta kwa ushauri zaidi kama biashara ya trasportation bado ni viable.
   
 17. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ndugu rejea somo la scales of economics na product branding.
  Scania wana wachumi wazuri sana na wameanza biashara hapa bongo miaka zaidi ya 30.
  Wameweza kujenga jina kwa kufanya biashara na serikali ya Tanzania na market kwa ujumla.
  Wameweza kuazisha dealership pamoja na spares outlets, kitu ambacho kinachukua muda mrefu kuestablish.
  Scania kwa kifupi imekubalika na wamefanya hivyo baada ya kuwabwaga vibaya kampuni ya Leyland ya Uingereza.
  Volvo on the otherside hawakuliona soko hapa bongo na sehemu hii Afrika Mashariki.Na market kwa ujumla hawaijui Volvo.
  Volvo inaweza kuwa gari zuri lakini kama kitu hukijui kwa nini kusumbuka nacho.
   
 18. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 994
  Trophy Points: 280
  Ukijaribu kuangalia bei ya used Dar na sehemu nyingine utaona kwamba bei ya Volvo ni raisi kuliko Scania, kwa hiyo inakupa picha ata mpya itakuwa hivyo hivyo.
   
 19. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Most trucking companies in Tanzania prefer Scania to Volvo. Some would say it's because the Scania parts are both affordable and easily accessible compare to Volvo's, while others would say they like Scania trucks because over the years they have proven to be durable for African road conditions. One thing I keep on asking myself is the fact that there are no Scania trucks in the United States.
   
 20. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 994
  Trophy Points: 280
  Za miaka gani?
   
Loading...