Msaada kwa ndoto hii..

Kijinga

Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
82
Reaction score
15
Jaman wadau mara nyingi nimekuwa nikiota jino limeng'ooka...mara nyingine naota meno yote mdomoni hayapo... mfano mzuri ni mchana wa leo, nlipokua nimejipumzisha nimeota eti jino langu limetoka,,, eti damu nying sn zikatoka.. baada ya muda jino lingine likaanza kutikisika...nashtuka najikuta niko sawa...Lakin kinachonishangaza ni kuwa ndoto hii huwa naiota sn....Plz km ina maana yoyote naomben mawazo yenu....

Karibun......
 
Una fanya kazi gani? Una umri gani? Hivi navyo vitasaidia kutafsiri ndoto yako. Pia chanzo cha kipato chako. Ndoto yako ni moja hiyo japo yajirudia ila kuna namna flani unachezea chanzo chako cha kipato. Tulia kabisa na unapofanya shughuli zako wapo wanaotafuta mbinu za kukimaliza hicho chanzo.
 
Nina miaka 33.... ni mfnyakaz wa serikalini..
 
Sehemu/kitu/mtu muhimu sana anawindwa ktk maisha yako. Kama we mkristo omba ikiwezekana funga ili Mungu aweke ulinzi ktk kila sehemu ya maisha yako. Kama sio mkristo jutahidi kusali kwa imani yako ili kama kuna chochote kibaya kisikupate. All n all hii thread sio mahali pake!!
 
Thnx a lot.....
 
Napita tu. Ntarudi kusoma tafsiri za ndoto hii
 
Tafsiri ya ndoto yako ni: Kuna kipindi ulikutana na mwanamke ukamtongoza na ukawa naye usiku kucha, ulinyonya sandals zikiwa na maziwa ya kale, hiyo ndiyo sababu, ukitaka usiote tena chemsha mwarobaini kunywa kutwa mara tatu kwa mwezi mmoja.
 
Last edited by a moderator:
Tafsiri ya ndoto yako ni: Kuna kipindi ulikutana na mwanamke ukamtongoza na ukawa naye usiku kucha, ulinyonya sandals zikiwa na maziwa ya kale, hiyo ndiyo sababu, ukitaka usiote tena chemsha mwarobaini kunywa kutwa mara tatu kwa mwezi mmoja.

Duh....mbona mm ni ke???
 
Nina miaka 33.... ni mfnyakaz wa serikalini..

Kijinga,
Sijakuuliza unafanya kazi wapi, nimekuuliza unafanya kazi gani kwani inaonesha kuwa ulipo pana malumbano au mashindano.
Kazi yako inawengi wanaoitamani. Usiogope uanze kuweweseka na kwenda kwa mganga ati kutafuta zindiko. Mungu hawezi kukuonesha mambo makubwa kuliko uwezo wako. Wala huhitaji kusafiri kuja niliko ili kukinga, ukinieleza nitakupa suluhisho ukiwa huko huko. Kama wazidi kuona iwe siri, ni PM nieleze yote na ntakupa tafsiri na kinga unayo mwenyewe.
Kwanza, yaonesha tangu uanze kuota hiyo ndoto kazi yako uliyo nayo ni ya pili.
 
Kuota jino kutoka power zinasema unapoteza rafiki.. Meno yametoka unachukiwa name ndugu... Prove I'm Wrong...
#Rakims
 
Inatakiwa ujiunge na club ya masumbwi, hakika Una wito na maono
 
utavurugwa tu hapa,,

ndoto ni ujinga tu.
 
Tafsiri ya ndoto yako ni: Kuna kipindi ulikutana na mwanamke ukamtongoza na ukawa naye usiku kucha, ulinyonya sandals zikiwa na maziwa ya kale, hiyo ndiyo sababu, ukitaka usiote tena chemsha mwarobaini kunywa kutwa mara tatu kwa mwezi mmoja.

duuu kweli hapa linahitajika chekecheo la kuchuja hii kitu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…