Msaada kwa mwenye uzoefu na kuendesha kampuni ya usafi

Kidava1

Member
Joined
Jul 1, 2022
Posts
31
Reaction score
24
Nitangulize shukrani kwa yeyote atakaechangia mawazo yake. naomba kwa yule mwenye uzoefu na biashara ya kuendesha kampuni ya usafi anisaidie kunipa muongozo wa uendeshaji na changamoto zake. Ahsante
 
Cleaning and fumigation company?
Mm nilowah kuwa supervisor wa kampuni fulani hiv ya usafi, ilikamataga tenda hospital ya mbagala rangi 3 na temeke miaka fulani.

Hapo ni kama kumsukuma mlevi tu, unaandaa organogram ambayo haiko complicated saana. Juu CEO chini, unaweka accountant, pembeni anakaa operation au field officer na mwingine ni afisa MANUNUZI na trainer wa wafanyakaz bas. Chini yao wanatokea supervisors kama wanne ambao watasimamia wenzao kwenye roster.

Hapo unabid tender na operation officer wako anakuwa kama marketing officer. Changamoto inaweza kuletwa na namna utakavyooparate tu! Ila changamoto nyingin huwez kuziondoa ni kuzitengenezea mkakat wa kupunguza risk zake! Moja ni wafanyakaz kuacha kazi kwa kigezo ch udogo wa mishahara au umbali wa eneo la kaz so mkakat wa kuwaganya unazingatia tu wanapokaa
 
shukran sana mkuu vp nawez kuja dm kupata namba ya whatsapp
 
Back
Top Bottom