Msaada kwa mwanafunzi aliedisco chuo

Msaada kwa mwanafunzi aliedisco chuo

HAPO ANACHOTAKIWA KUFANYA ILI ARUDI TENA CHUONI KWA MWAKA HUU NI HV

Aende chuoni atapewe barua ya ku disco kisha ataijaza na kusainiwa au kupgwa muhuli wa chuo kisha ataenda TCU kuwapelekea barua hyo kwa lengo la TCU kumuondoa kwenye system ili aweze omba tena maana endapo asipofanya hvyo pindi akiomba tena chuo itaonekana bado yupo kwenye system..Kwahyo hatoweza fanikiwa pata chuo mpka aondolewe kwenye system.

Pia Kuna vyuo vingine uwaga wanapeleka wenyewe majina TCU Kwa watu walio disco
Hivyo itamlazimu asubirie mpka chuo kipeleke

Hapo anatakiwa arudi chuoni ili akaulizie apate jua kama ni yeye anatakiwa kupeleka barua TCU au Chuoni Wenyewe wanapeleka majina

Na Imani nimeleweka japo sina uhandishi mzuri ni hilo nami nimeona niwasilishe.
 
nimekuelewa na tuko kwenye process za hilo
 
P
habarini wana JF
Nina ndugu yangu anasoma udom mwaka wa pili (kozi ya miaka minne) level ya degree hivi majuzi matokeo yametoka amedisco....hajui aende wapi wala afanye nini.
Kwenu wana jf kwa situation kama hii ataruhusiwa kuomba chuo kingine baada ya miaka mingapi, anaweza kuappeal, nini hatima ya mtu aliedisco kwa utaratibu wa tz???
karibuni tuwasaidie wadogo zetu( ushauri)

*N.B madogo mlioko chuoni someni, chuo hakiitaji mbwembwe*
Karibu Fulgent Careers, washauri wa masuala ya elimu ndani na nje ya nchi. Utajibiwa maswali yako yote na huduma za ziada kwa gharama ya Tsh 5000 tu. 0769 524 022.
 
habarini wana JF
Nina ndugu yangu anasoma udom mwaka wa pili (kozi ya miaka minne) level ya degree hivi majuzi matokeo yametoka amedisco....hajui aende wapi wala afanye nini.
Kwenu wana jf kwa situation kama hii ataruhusiwa kuomba chuo kingine baada ya miaka mingapi, anaweza kuappeal, nini hatima ya mtu aliedisco kwa utaratibu wa tz???
karibuni tuwasaidie wadogo zetu( ushauri)

*N.B madogo mlioko chuoni someni, chuo hakiitaji mbwembwe*
Wewe ndo umedisco unamsingizia mdogo wako.
 
Kudisco chuo kikuu lazima ujiangalie umekwama wapi
 
namuomba asirudi chuo kwa sababu zifuatazo,

1>Ashasoma miaka 2 akienda tena kwanza na kusoma miaka 3/ 4 itakua kapoteza miaka 5/6 kwa elimu ya chuo tuu,, hii ni kupoteza muda ukizingatia maisha bila elimu ya chuo yanawezekana...

2> Probability ya kupata mkopo ni ndogo sana hivyo itabidi a some kwa pesa zake mwenyewe kitu ambacho angetumia angetumia pesa hizo kama mtaji na kufanya mambo mengi mtaani, elimu aliyopata inatosha
3> Alishasoma akadisco, kuna haja gani ya kurud chuo tena? Kwanza atasoma kwa stress na anaweza kudisco tena, usitud chuo shule ishakukataa Fanya mambo mengne
 
i
mfano kwa aliedico akiamua kuomba kupitia NACTE atakubaliwa? au mpaka jina lake kule chuoni litolewe? na huwa wanaenda wenyewe waliodisco au chuo kinaeleka jina TCU?
unaenda mwenyew TCU wanakufuta ndo unaweza kuapply upya chuo hakikuangaikii tena.
 
namuomba asirudi chuo kwa sababu zifuatazo,

1>Ashasoma miaka 2 akienda tena kwanza na kusoma miaka 3/ 4 itakua kapoteza miaka 5/6 kwa elimu ya chuo tuu,, hii ni kupoteza muda ukizingatia maisha bila elimu ya chuo yanawezekana...

2> Probability ya kupata mkopo ni ndogo sana hivyo itabidi a some kwa pesa zake mwenyewe kitu ambacho angetumia angetumia pesa hizo kama mtaji na kufanya mambo mengi mtaani, elimu aliyopata inatosha
3> Alishasoma akadisco, kuna haja gani ya kurud chuo tena? Kwanza atasoma kwa stress na anaweza kudisco tena, usitud chuo shule ishakukataa Fanya mambo mengne

Una maana afanye biashara? Mimi naona, au atafute kozi ya veta asome hata ya mwaka mmoja, atleast apate ujuzi, then atajiongeza mwenyewe kwa skills alizopata veta.
 
Back
Top Bottom