Msaada kwa mwanafunzi aliedisco chuo

Rosicky

JF-Expert Member
Sep 21, 2015
1,157
1,943
habarini wana JF
Nina ndugu yangu anasoma udom mwaka wa pili (kozi ya miaka minne) level ya degree hivi majuzi matokeo yametoka amedisco....hajui aende wapi wala afanye nini.
Kwenu wana jf kwa situation kama hii ataruhusiwa kuomba chuo kingine baada ya miaka mingapi, anaweza kuappeal, nini hatima ya mtu aliedisco kwa utaratibu wa tz???
karibuni tuwasaidie wadogo zetu( ushauri)

*N.B madogo mlioko chuoni someni, chuo hakiitaji mbwembwe*
 
Hii ndo ilokufanya udisco?

Pole kaaply chuo kingine badili na kozi
 
Hii ndo ilokufanya udisco?

Pole kaaply chuo kingine badili na kozi
angalia na post zangu zingine utajifunza kingine
sio mimi ni ndugu yangu
 
Hii ndo ilokufanya udisco?

Pole kaaply chuo kingine badili na kozi
Umedisco wewe unamsingizia mdogo wako. Unaleta mbwembwe chuoni subiri ufundishwe na kitaa kulala njaa ni supp na kukosa pesa ni kama umedisco
Pole sana mkuu kwa kudisco
JamiiForums kuna raha sana.😂😂
 
Pole sana kwa huyo mdogo wako kudisco wakati akiwa mwaka wa pili ya ni Mara nyingi watu huwa wanadisco wakiwa mwaka wa pili.

Kurudi chuoni anaweza kurudi Ila kabla hajarudi hebu kaa naye chini akuelezee shida ilikuwa wapi, ugumu wa programme aliyoichagua, ugumu wa malecture, au shida ni yeye mwenyewe kuendekeza ule msemo wetu wa "", ,CHUONI KUNA BATA SANA""

Kama anaona mambo ya shule hayawezi tena basi ujue hata kama akirudi kusoma ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa!! So kama anakichwa cha kufanya biashara atafute biashara afanye...

Kingine kama ataamua kurudi chuoni ujue kuna probability kubwa ya kukosa mkopo ingawa kuna watu na bahati zao huwa wanapata but this one usijepe guarantee ya 100%.....

Cha Mwisho mwambie kudisco sio ndo mwisho wa masomo au maisha anaweza kujipanga upya na akatusua...katika maisha tunaweza kuteleza Ila tusikubali kuanguka kabisa!!

Wish him all the best katika njia atakayoichagua!! May God help him to choose better way....and more success to him...Amen
 
Mkuu hongera kwa kuwa na positive attitude, ni skills ambayo wengi hawana na siyo rahisi kuwa nayo.

Umeongea ukweli, mtoa mada kaa na huyo ndugu akuambie ukweli kwann imetokea hivyo kwake, ila ukifanya maamuzi ya faster kumtafutia chuo afanye application tena bila kujua tatizo lilikuwa nini mpaka yeye ku-disco hata huko mbele mambo yatakuwa tofauti na atapoteza muda mwingi na kuja kujutia baadae kwa maamuzi hayo.

Kiufupi kudisco chuo haina maana mhusika ajiwezi kitaaluma ila huwa kuna sababu nyingi tu mpka kufikia hiyo hatua,

1. Stress kutokana na hali ya maisha yanayomzunguka individually huwa inapunguza hamasa ya kujitoa katika kusoma vizuri na kwa umakini.

2. Malengo aliyonayo na kozi anayoisoma, kama kozi aliyokuwa anasoma alikuwa anasoma tu ilimradi yupo chuo anachukua degree bila kuwa na connection na malengo na ndoto zake mbeleni, hapa pia hamasa huwa inapungua mpaka wengine kuacha kabisa chuo na kuanza kufanya mishe zao.
(hii siyo rahisi yeye kukuelezea kutoka ndani ya moyo wake kama anaona unaweza mkatisha tamaa au kukuona kama ni mtu ambaye uamini katika masuala ya malengo na ndoto katika maisha kiujumla na kukuona unaamini sana mafanikio yapo kwenye degree, hapo lazima atakuficha tu but kama upo positive then atakuwa muwazi kwako)

3. Makundi. Kama kampani yake ilikuwa ya watu wasiojielewa na hata yeye mwenyewe kuwemo katika kundi hilo, wazee wa Chuo bata, hapo kuondoka ni njenje, muulize vema akuambie (though sometimes anaweza kuficha)

4. Academic challenges, kuanzia lecturers, pia muulize tu afunguke.

Kwa kutambua mzizi wa tatizo itakuwa rahisi sana kufanya maamuzi sahihi.

Wish you all the best.
 
habarini wana JF
Nina ndugu yangu anasoma udom mwaka wa pili (kozi ya miaka minne) level ya degree hivi majuzi matokeo yametoka amedisco....hajui aende wapi wala afanye nini.
Kwenu wana jf kwa situation kama hii ataruhusiwa kuomba chuo kingine baada ya miaka mingapi, anaweza kuappeal, nini hatima ya mtu aliedisco kwa utaratibu wa tz???
karibuni tuwasaidie wadogo zetu( ushauri)

*N.B madogo mlioko chuoni someni, chuo hakiitaji mbwembwe*
Kwanza kwa experience ya miaka 3 niliyokua chuo wanao disco wengi ni wale wa msuli yatima (nakataa kwamba wanaodisco ni wasiosoma tu)
Chuo kinahitaji akili kidogo na ujanja mwingi sanaaa yani ukijifanya wewe ni TO ndo utarudi kama hivyo ulivyorudi.
Mwisho nikupe pole na hongera maana shoo za UDOM nazielewa.
 
Mkuu hongera kwa kuwa na positive attitude, ni skills ambayo wengi hawana na siyo rahisi kuwa nayo.

Umeongea ukweli, mtoa mada kaa na huyo ndugu akuambie ukweli kwann imetokea hivyo kwake, ila ukifanya maamuzi ya faster kumtafutia chuo afanye application tena bila kujua tatizo lilikuwa nini mpaka yeye ku-disco hata huko mbele mambo yatakuwa tofauti na atapoteza muda mwingi na kuja kujutia baadae kwa maamuzi hayo.

Kiufupi kudisco chuo haina maana mhusika ajiwezi kitaaluma ila huwa kuna sababu nyingi tu mpka kufikia hiyo hatua,

1. Stress kutokana na hali ya maisha yanayomzunguka individually huwa inapunguza hamasa ya kujitoa katika kusoma vizuri na kwa umakini.

2. Malengo aliyonayo na kozi anayoisoma, kama kozi aliyokuwa anasoma alikuwa anasoma tu ilimradi yupo chuo anachukua degree bila kuwa na connection na malengo na ndoto zake mbeleni, hapa pia hamasa huwa inapungua mpaka wengine kuacha kabisa chuo na kuanza kufanya mishe zao.
(hii siyo rahisi yeye kukuelezea kutoka ndani ya moyo wake kama anaona unaweza mkatisha tamaa au kukuona kama ni mtu ambaye uamini katika masuala ya malengo na ndoto katika maisha kiujumla na kukuona unaamini sana mafanikio yapo kwenye degree, hapo lazima atakuficha tu but kama upo positive then atakuwa muwazi kwako)

3. Makundi. Kama kampani yake ilikuwa ya watu wasiojielewa na hata yeye mwenyewe kuwemo katika kundi hilo, wazee wa Chuo bata, hapo kuondoka ni njenje, muulize vema akuambie (though sometimes anaweza kuficha)

4. Academic challenges, kuanzia lecturers, pia muulize tu afunguke.

Kwa kutambua mzizi wa tatizo itakuwa rahisi sana kufanya maamuzi sahihi.

Wish you all the best.
Well said
 
thanks sana Mr purpose
 
Pole sana kwa huyo mdogo wako kudisco wakati akiwa mwaka wa pili ya ni Mara nyingi watu huwa wanadisco wakiwa mwaka wa pili.

Kurudi chuoni anaweza kurudi Ila kabla hajarudi hebu kaa naye chini akuelezee shida ilikuwa wapi, ugumu wa programme aliyoichagua, ugumu wa malecture, au shida ni yeye mwenyewe kuendekeza ule msemo wetu wa "", ,CHUONI KUNA BATA SANA""

Kama anaona mambo ya shule hayawezi tena basi ujue hata kama akirudi kusoma ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa!! So kama anakichwa cha kufanya biashara atafute biashara afanye...

Kingine kama ataamua kurudi chuoni ujue kuna probability kubwa ya kukosa mkopo ingawa kuna watu na bahati zao huwa wanapata but this one usijepe guarantee ya 100%.....

Cha Mwisho mwambie kudisco sio ndo mwisho wa masomo au maisha anaweza kujipanga upya na akatusua...katika maisha tunaweza kuteleza Ila tusikubali kuanguka kabisa!!

Wish him all the best katika njia atakayoichagua!! May God help him to choose better way....and more success to him...Amen
big up man unastahiri kuwepo jf
 
mfano kwa aliedico akiamua kuomba kupitia NACTE atakubaliwa? au mpaka jina lake kule chuoni litolewe? na huwa wanaenda wenyewe waliodisco au chuo kinaeleka jina TCU?
 
Back
Top Bottom