Msaada ; Kwa mkoa wa Dodom wapi wanafundisha computer courses ukiacha vyuo vikuu vilivyopo Dodoma.

Msaada ; Kwa mkoa wa Dodom wapi wanafundisha computer courses ukiacha vyuo vikuu vilivyopo Dodoma.

Coffee

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
1,304
Reaction score
1,313
Poleni na majukumu ya kila siku wakuu.
Naomba kufahamu sehemu nzuri ambayo wanatoa mafunzo ya computers kwa jiji la Dodoma tofauti na vyuo vikuu vilivyopo apa jijini.
 
Poleni na majukumu ya kila siku wakuu.
Naomba kufahamu sehemu nzuri ambayo wanatoa mafunzo ya computers kwa jiji la Dodoma tofauti na vyuo vikuu vilivyopo apa jijini.
UCC opposite na mater pub
 
dodoma kuna branch ya ucc ama waeza enda pale kanisa la anglikana lilipo wana chuo kinatoa kozi za kompyuta
 
Back
Top Bottom