Hamjambo wapendwa, hope wote mmeamka bien, kwa wagonjwa na matatizo mbalimbali poleni. Leo nimepata kisa kimenitatiza kidogo naomba kushare nanyi wapendwa tumsaidie huyu ndugu. Huyu mkaka amezaa na mke wa mtu bila mume kujua na wote wanaendelea kumtunza mtoto sasa ana umri wa miaka mitano. Tatizo mdada anaogopa kusema ukweli kulinda ndoa yake, na mkaka (mwizi) anataka atambulike kwa mwanae japo na yeye ana mke.Mke wa mwizi keshaelezwa kuna mtoto nje kakubaliana na hilo japo hajui ni wapi/ kwa nani. Na familia ya mdada inajua kila kitu.Familia ya kiume na mke wa mwizi imekomaa inataka kumuona huyo mtoto. Mume wa dada hana ajualo. Nisaidieni kaka aanzie wapi, na familia ya mkaka mwizi na mdada ni marafiki toka udogoni..
Nawasilisha.

Mambo mengine yakujitakia tu utafanyaje mapenzi nje ya ndoa mpaka mimba??? Atajibeba
CHETU,
Nawajibika kumpa ushauri huyu Mkaka, Asahau kuhusu huyo mtoto kama kweli anampenda huyu mdada, Na kwa kuwa mkaka mwizi ana ndoa yake na ni nzuri tu, Aendelee kuongeza watoto kwa mke Halali, Kitendo anachotaka kufanya kitamsaidia nini? Anataka idadi ya watoto au anamtaka huyo mtoto aliyezaa na mke wa mtu? Je anajua nini kitatokea kwa huyu Mdada? Kama anampenda kweli aachane kabisa na wazo la kumtaka huyu mtoto, isitoshe ni mtoto katika ndoa ya mtu! Unawezaje kudai mtoto katika ndoa ya Mtu?
hi honey.....Za mwizi arobaini🙂 hamna cha kusaidia hapo acha waumbuke tu shosty!!..mke mwizi anaweza kuambulia talaka..huyo mume mwizi naona yeye kashasalenda kwa mkewe.. mwizi+mwizi=aibu!!
Hamjambo wapendwa, hope wote mmeamka bien, kwa wagonjwa na matatizo mbalimbali poleni. Leo nimepata kisa kimenitatiza kidogo naomba kushare nanyi wapendwa tumsaidie huyu ndugu. Huyu mkaka amezaa na mke wa mtu bila mume kujua na wote wanaendelea kumtunza mtoto sasa ana umri wa miaka mitano. Tatizo mdada anaogopa kusema ukweli kulinda ndoa yake, na mkaka (mwizi) anataka atambulike kwa mwanae japo na yeye ana mke.Mke wa mwizi keshaelezwa kuna mtoto nje kakubaliana na hilo japo hajui ni wapi/ kwa nani. Na familia ya mdada inajua kila kitu.Familia ya kiume na mke wa mwizi imekomaa inataka kumuona huyo mtoto. Mume wa dada hana ajualo. Nisaidieni kaka aanzie wapi, na familia ya mkaka mwizi na mdada ni marafiki toka udogoni..
Nawasilisha.
Huyo mwanamke aliye beba mimba na kuzaa huyo mtoto wa miaka 5 natamani nimdunde kanitia kichefu chefu.
Kama aliona tamu si bora angekuwa anajiexpress tu na asingepata mimba kama wanavyo fanya wanawake wajanja.
Renegade asante kwa mchango wako mzuri , tatizo mkaka anadai huyo mtoto ni wa kiume na kwake hana kiume. Na anaona muda unavyozidi ndio mambo yatazidi kuwa mabaya.
Kumbe tatizo ni jinsia ya mtoto ndio maana jamaa anamng'ang'ania mtoto!!Renegade asante kwa mchango wako mzuri , tatizo mkaka anadai huyo mtoto ni wa kiume na kwake hana kiume. Na anaona muda unavyozidi ndio mambo yatazidi kuwa mabaya.
mbona mkaka tu ndo anaitwa mwizi kwenye hii post? huu ni ubaguzi wa kijinsia.
ushauri zaidi nitatoa baadae.
Inakuwa ngumu sana kwa mwanaume kugundua hasa kama anamwamini sana mke wake. Wanawake wana siri nyingi sana hasa zinazohusu watoto, kuna dada yetu mmoja alipofariki yeye na mume wake, tulishangaa alipokuja jamaa mwingine kudai mtoto kuwa ni wake. Tulikosa la kusema maana mtoto alikuwa ni fotokopi ya yule jamaa, lakini yule mtoto alikuwa anapendwa sana na baba yake aliefariki, sipati picha yule baba angekuwa hai!!
Mume B*w*e*g*e*!
... e bana ee, hakuna cha kujustify uzinifu wake, huyu jamaa vipi? duh! ananitia hasira sana aisee...busara zangu zinapungua kwenye kesi hii. Aache kuzungumza pumba bana. Binafsi naskia harufu ya damu kwenye kesi hii...This is not right!
Wa nani huyo?Mbu acha kabisa kibaya dada ndoani ana watoto 4 plus huyu wa mkaka. Sa hizi ana kachanga 5 months.
Naomba nimuulize mtoa mada...
Huyu malaya wa kiume (wu enamwita kaka mwizi), alipima DNA kujihakikishia kuwa huyu mtoto aliyezaliwa na huyo changudoa aliyeolewa ni wake?
Naomba nimuulize mtoa mada...
Huyu malaya wa kiume (wu enamwita kaka mwizi), alipima DNA kujihakikishia kuwa huyu mtoto aliyezaliwa na huyo changudoa aliyeolewa ni wake?
Mbu acha kabisa kibaya dada ndoani ana watoto 4 plus huyu wa mkaka. Sa hizi ana kachanga 5 months.
Naomba nimuulize mtoa mada...
Huyu malaya wa kiume (wu enamwita kaka mwizi), alipima DNA kujihakikishia kuwa huyu mtoto aliyezaliwa na huyo changudoa aliyeolewa ni wake?
Mwambie kama anataka mwanawe ajue kuwa huyo anae ishi nae sio baba akubali kuutwika mzigo atakapo pigwa talaka.
Akubali kabisa pasipo kipingamizi dili likitibuka amtafutie hifadhi kabisa.
Ila wanawake huwa mnakuwa na akili za ajabu sana wewe mke wa mtu unalitamani janaume la mtu unalikabidhi roho na mapafu linakuzalisha na wewe unakubali kwa kuneng'eneka ukijua lijamaa linakupenda subiri utangwe talaka hapo utajua sura za wanaume zilivyo na utajua kuwa sura sio roho. Litakufungia vioo kama halikujui vile.
Hapo sasa malaya wa kiume+changudoa aliyeolewa unapata nini??? ha ha
Kuna watu wanapenda shida zinazoepukika kabisa duniani...wakome na jamii iwasute hiyo mijizi miwili iliyolewa na kuoa!!