Haya ndio matokeo yenyewe yanayotarajiwa..Mkaka mwizi akatae kuonyesha ndugu zake huyo mtoto vinginevyo ndoa ya mdada mwizi itavunjika!
Mwambie warudi nyuma wakaUNDO madudu yao...wote wawili!
Mwambie warudi nyuma wakaUNDO madudu yao...wote wawili!
Imekaa vibaya
mwanamke anayezaa nje ya ndoa kupata msamaha kwa mumewe ni ngumu
nahisi harufu ya talaka hapo
Na kama mwanaume ni mwenye hasira hata mauaji yanaweza kutokea.
mbona mkaka tu ndo anaitwa mwizi kwenye hii post? huu ni ubaguzi wa kijinsia.Hamjambo wapendwa, hope wote mmeamka bien, kwa wagonjwa na matatizo mbalimbali poleni. Leo nimepata kisa kimenitatiza kidogo naomba kushare nanyi wapendwa tumsaidie huyu ndugu. Huyu mkaka amezaa na mke wa mtu bila mume kujua na wote wanaendelea kumtunza mtoto sasa ana umri wa miaka mitano. Tatizo mdada anaogopa kusema ukweli kulinda ndoa yake, na mkaka (mwizi) anataka atambulike kwa mwanae japo na yeye ana mke.Mke wa mwizi keshaelezwa kuna mtoto nje kakubaliana na hilo japo hajui ni wapi/ kwa nani. Na familia ya mdada inajua kila kitu.Familia ya kiume na mke wa mwizi imekomaa inataka kumuona huyo mtoto. Mume wa dada hana ajualo. Nisaidieni kaka aanzie wapi, na familia ya mkaka mwizi na mdada ni marafiki toka udogoni..
Nawasilisha.
WataUNDO vipi
halafu nashangaa huyo mume hajagundua chochote miaka yote
mbona mkaka tu ndo anaitwa mwizi kwenye hii post? huu ni ubaguzi wa kijinsia.
ushauri zaidi nitatoa baadae.
Inakuwa ngumu sana kwa mwanaume kugundua hasa kama anamwamini sana mke wake. Wanawake wana siri nyingi sana hasa zinazohusu watoto, kuna dada yetu mmoja alipofariki yeye na mume wake, tulishangaa alipokuja jamaa mwingine kudai mtoto kuwa ni wake. Tulikosa la kusema maana mtoto alikuwa ni fotokopi ya yule jamaa, lakini yule mtoto alikuwa anapendwa sana na baba yake aliefariki, sipati picha yule baba angekuwa hai!!WataUNDO vipi
halafu nashangaa huyo mume hajagundua chochote miaka yote
WataUNDO vipi
halafu nashangaa huyo mume hajagundua chochote miaka yote
Ningekubali matokeo, ningemsamehe mke na maisha yangeendelea kama kawaida lakini uaminifu ungepungua...Katavi
ingekuwa wewe ungefanyaje
wote wevi,