Msaada kwa mjamzito | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwa mjamzito

Discussion in 'JF Doctor' started by mimi05, Oct 31, 2011.

 1. mimi05

  mimi05 Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naombeni ushauri kwa rafiki yangu mjamzito kwani anapata maumivu ya kichwa mara kwa mara, ni nini anaweza kutumia mbali na dawa za hospital?
   
 2. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Ameshaenda hospitali au unatafuta dawa mbadala wakati hata tatizo halijajulikana vizuri? Mpeleke kwanza hospitali yawezekana ana malaria kali na hamkutibu vizuri hiyo malaria toka hapo sasa ndo uje uombe ushauri hapa jf!
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mpe pole mgonjwa.aende hospitali.
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Anywe maji mengi na amwone daktari
   
 5. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  aende hospitali itakuwa ni damu kidogo na pressure...pole
   
 6. mimi05

  mimi05 Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asanteni sana ndugu zangu kwa ushauri,hata nilimshauri aende hospitali naona ataenda leo.Mungu awabariki.
   
Loading...