Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,401
- 31,659
Huko PM nitapata ya kuonja kwanza?[emoji39] [emoji39]Anayeuza mbege aje pm
Huko PM nitapata ya kuonja kwanza?[emoji39] [emoji39]Anayeuza mbege aje pm
Ok poa nimekusomaMaskani huko mkuu. Mtu hasahau kwao. Kibosho Umbwe yote na vichochoro vyake vyote kuanzia shangala hunipotezi
Huko PM nitapata ya kuonja kwanza?[emoji39] [emoji39]
[emoji106]Ok poa nimekusoma
Oooh kumbe, ukipata naomba unionjeshe na mimi!Pm aje anayeuza ninunue [emoji16][emoji16]
Oooh kumbe, ukipata naomba unionjeshe na mimi!
Mkuu kwani mafuta ya taa au ya kula huko kwenu yamebadilika jina auNa huko Kibosho mnaiitaje? Hivyo hivyo Mbege kama sisi au mnaiita kivingine?
Mbege ni Kiswahili, kwingine inafahamika kwa majina tofauti tu, yenye variation ndogo. Mfano kuna wanaoita mbeke, wengine umbeke n.k
Kumbe Mbege inatengenezwa na ndizi? Nilijua ulezi!
Swali lingine na kote inaitwa hivyo Mbege au inajulikana kwa jina lingine pia?
Mbege ni mchanganyiko maalum wa Ulezi,Ndizi,Msesewe na MAJI safiNdizi ndio ingrediet kuu na ulezi pia unahusika.