Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,661
- 6,910
Kila alipo Mchagga mbege imo.Nimekuwa nikiuliza hili swali lkn sijawahi kupata jibu stahiki, hivi Mbege iko KLM kote au ni baadhi ya maeneo moja tu? Yaani kila mahali Mkoa wa KLM kilevi chao ni Mbege?