Msaada kwa mafundi umeme

mbeyaboyfrancy

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Posts
248
Reaction score
91
Mi ni kijana niliyemaliza kozi ya umeme mwaka jana na nina level 3,sasa natarajia kufanya interview ya kazi wiki ijayo nilikuwa naomba kujua uwa wanauliza maswali ya mtindo gani maana sijawai fanya interview ya kazi hii ndo mara yangu ya kwanza
 
maswali ni unpredictable kaka unaweza kuulizwa maswali kakisocial zaidi au kitekniko au both
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…